Angalia tofauti ya vita ya Ukraine na Russia na Israel na Palestina

Angalia tofauti ya vita ya Ukraine na Russia na Israel na Palestina

Hakuna vita ya Israel na palestina bali ni vita ya Israel na freedom fighters au wanamgambo wa Hamas kumbuka sio jeshi ni wanamgambo tu
 
Hakuna vita ya Israel na palestina bali ni vita ya Israel na freedom fighters au wanamgambo wa Hamas kumbuka sio jeshi ni wanamgambo tu

Njiwa: Nimekuelewa, umenipa jibu nilokuwa najiuliza, Kwa kawaida wana mgambo hawana strategy zozote za vita, lakini wangekuwa nazo tusingeyaona tunayayaona Gaza. Walikurupuka tu bila kufikiri. Itawasadia huko mbeleni labda.
 
Kwa hiyo unataka wafanane?Sababu,nia na vyanzo ni tofauti.Wafanane kwa nini sasa?Majina tu ni tofauti.Kama unateseka ungewawahi HAMAS na ungewaeleza wasianzishe ujinga kwa kutegemea kupewa maua.
Ukrain hawakuuwa warusi ikawa mwanzo wa vita bali Hamas waliua waisrael na ndo chanzo cha vita.
Huyo bongolala haoni hilo.
Tumwache abwabwaje tu
 
1. Vita ya Ukraine na Russia ilianza February 2022, vita kati ya Israel na Palestina/Gaza imeanza October 2023. Vita kati ya Russia na Ukraine iliamza baada ya Russia kuituhumu Ukraine kwa uchokozi na vita kati ya Israel na Palestina imeanza baada ya Israel kuituhumu Palestina kwa uchokozi na kurusha maroketi.

2. Pamoja na vita, Russia bado anaihudumia Ukraine kwa kuiuzia umeme na Gesi, Israel imekata umeme, maji na huduma zote za muhimu kwa Palestina/Gaza baada ya vita kuanza.

3. Russia huondoa watoto na wanawake kutoka kwenye eneo la vita kabla ya kushambulia, Israel inashambulia hadi hospitali, Israel wanasema Gaza, Everyone is Guilty until proven Innocent' hata watoto wadogo na wanawake ni guilty. Huu ni wendawazimu.

4. Russia haijatangaza kuifuta Ukraine ana kuua wa Ukraine wote, Israel inatangaza kuifuta Gaza ama Palestina na kwamba watakachokifanya kwa Gaza hakitasahaulikakwenye kumbukumbu ya Dunia.

5. Kuna wakati Russia ilikata umeme kwa baadhi ya mikoa ya Ukraine, Russia waliitwa ni magaidi, kukata umeme, ila Israel ilipowakatia Gaza umeme wamesifiwa na kupongezwa.

6. Russia haijawahi kudhalilisha watu wa Ukraine na kuwaita majina mabaya mabaya ya ajabu ajabu lakini Israel inawaita wapalestina ni wanyama, nyani, sijui mbwa na majina ya hovyo na bado Israel inasifiwa.

7. Mwisho, tunaambiwa Russia ni taifa la Kigaidi na Palestina ni taifa la Kigaidi. Tunaambiwa Russia ndio mchokozi kwa Ukraine ila Israel yeye ana haki ya kujilinda na kujitetea. Kwamba Putin ni gaidi ila Netanyahu ni shujaa kulinda nchi yake.

Huo ndio unafiki wa watu wa magharibi na vyombo vyao vya habari.
We unaeringanisha nadhani una wazimu kidogo!
Israel inapigania Its own existence dhidi ya wenye chuki ya kuifuta kabisa
Russia inapigania heshima na ubabe na inapigana na NATO expansion.

KIFUPI RUSSIA haina sababu za kupigana zaidi ya kujihami.

Israel inajirinda haijihami. Kujilinda ni kupigana baada ya kushambuliwa.Tayari ilishashambuliwa inarudisha majibu.
 
Wewe akili huna na shule huna.

Labda kwa kukusaidia kufungua akili yako ndogo nikuulize, ni nini madhara ya NATO expansion kwa Russia iwapo Russia haitajihami/haitajilinda?

Ama kwa akili yako ndogo unaamini kwamba tu protect your own existence ni lazima usibiri ushambuliwe kwanza?

Usivyo na akili unaandika kwa herufi kubwa kwamba Russia haina sababu ya kupigana, so ingeacha tu NATO ijifanyie unachotaka kwenye mipaka yake hadi isubiri ushambuliwe.

Rudi shule uongeze maarifa.
 
Mama ebu tulia!
Elewa siyo kutumia mihemuko na kuja mbio hapa.
Hapo ilikua comparison na kwenye comparison hulinganisha uzito wa hoja si kwa kutizama hoja moja.

Ukiringanisha uzito wa Offensive na Defensive huwezi kusema offensive inauzito kama defensive.Kwa maana nyingine
Kwene kujihami unashambulia kabla hujashambuliwa.
Na ukishambuliwa na ukajirudishia ni haki.
NB: lakini sikua na maana kua russia haina haki ya kujihami NO hiyo ilikua kuringanisha uzito wa mambo kati ya vita ya israel na Ukraine.
 
Rudi shule binti ujifunze kuandika vizuri.

Rudi shule ujifunze kujenga hoja, ujifunze kuandika sentensi iliyounganika na yenye kuleta maana ama mantiki.

Kama vitu vidogo tu vya alama za sentensi (punctuation marks) hujui kuzitumia, huwezi kua na akili ya kujadiliana na mimi.

Narudia, rudi shule.
 
Back
Top Bottom