The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
From S20 ultra camera zoom ni balaa... nina video nilichukua kwa S21 ultra ndege ikiwa 20K feets above see level nikazoom chini unaweza kushangaa!!Video sawa ila voice nayo? Ama wameifake tu kwa juu?
Mkuu tuekee tuoshe macho kidogo na sisi.From S20 ultra camera zoom ni balaa... nina video nilichukua kwa S21 ultra ndege ikiwa 20K feets above see level nikazoom chini unaweza kushangaa!!
Audio zoom 🤣🤣Video sawa ila voice nayo? Ama wameifake tu kwa juu?
Hii wamei fake kwa juu.Video sawa ila voice nayo? Ama wameifake tu kwa juu?
Simu zote duniani zinatokaMajuha ya simu yanadanganyana humu!
Tengenezeni simu zenu na sio kujifanya wajuzi kupitia teknolojia za wengine.
Mabingwa wa kukariri nyie hamuwezi lolote.Simu zote duniani zinatoka
-USA
-China
-Japan
-South Korea
Kwa hio Logic nchi zote duniani zisiongelee simu.
1. Watu wananunua kwa hela zao hawapewi bure wana kila haki ya kushabikia na kununua kitu wanachokipendaMabingwa wa kukariri nyie hamuwezi lolote.
People are making business and you here cheering up their technology while you do nothing.
Ati oohh ina camera kali!! Tengeneza yako!
Nikiwa rais nitawatandika bakora kweli kweli... mijitu zombi zombi tu.
Huyu ni kilaza mmoja hivi kavamia jf kila thread ana comment ujingaWw umetengeneza nn hapo ulipo umezungukwa na product nyingi za nje unakaa kuwaza urais [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli jamii forum na machizi tunayo.Ww ungeanza kutengeneza hata kiswaswadu kazi kuwaponda watu wanao tupa elim hata tukienda kununua simu tujue ubora ww umekalia ujuaji takataka
2. Ni mjinga peke yake anaefikiri kwamba sababu sehemu fulani wanatengeneza simu basi watu wote nao watengeneze simu.1. Watu wananunua kwa hela zao hawapewi bure wana kila haki ya kushabikia na kununua kitu wanachokipenda
2. Ni mjinga peke yake anaefikiri kwamba sababu sehemu fulani wanatengeneza simu basi watu wote nao watengeneze simu.
3. Kutengeneza simu sio Ujanja wengi wanaotengeza simu wana Mishahara mibovu, kuna watu wanaotengeneza simu wanalipwa hela mbovu kuliko walimu Tanzania.
Wanaopiga hela ama kuuza Hizo simu ni wale Wenye mitaji kama ilivyo sehemu yoyote duniani, Simu ni Biashara kama unga wa Ngano, Tambi, Nyama, Ving'amuzi etc
Mwenye mtaji anatengenenza anauza.
Wasukuma mnapenda sana makamera.Ww umetengeneza nn hapo ulipo umezungukwa na product nyingi za nje unakaa kuwaza urais [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli jamii forum na machizi tunayo.Ww ungeanza kutengeneza hata kiswaswadu kazi kuwaponda watu wanao tupa elim hata tukienda kununua simu tujue ubora ww umekalia ujuaji takataka
Nyie ndo mlikuwa wa kwanza kupelekwa Utumwani.Wasukuma mnapenda sana makamera.
Mtu akiwa na katekno chake anaita kijiji kizima kije kipige nae picha!
Fanya kazi KIJANA ... watu wanatengeneza pesa kupitia ujinga wenu wa kushabikia small teknologies....
Mikamera tu kutwa kuchwa upo whatsapp unapiga mapicha huku watu wanatengeneza pesa.
Hapa nakuamsha tu kutoka usingizini, you should thank me!
Nikiwa Rais nitawatandika viboko kweli kweli...
Chief naomba nisaidie hapa kati ya hizi simu mbili ni ipi ina camera nzuri kuzidi mwenzakeVideo sawa ila voice nayo? Ama wameifake tu kwa juu?
Mkuu hizo Camera za Tecno nyengine zinajaza tu namba hapo, mfano hio Qvga camera ni 0.3MP haina kazi yoyote ipo tu kuonesha simu ina camera nyingi. Same kwa Macro na Depth kwenye Nokia.Chief naomba nisaidie hapa kati ya hizi simu mbili ni ipi ina camera nzuri kuzidi mwenzake
Tecno camon 19 camera specs-64 MP Triple, f/1.7, 26mm (wide), 1/1.7'', 0.8µm, PDAF
-2 MP, f/2.4, (depth)
-QVGA selfie 16 MP, Single
Nokia X20 camera specs 64 MP Quad, (wide), PDAF
-5 MP, (ultrawide)
-2 MP, (macro)
-2 MP, (depth) selfie 32 MP, Single