Angalia uwezo wa Samsung Galaxy S22 Ultra

Angalia uwezo wa Samsung Galaxy S22 Ultra

Mi huwa naagiza Kwa njia ya meli mkuu inachukua maximum 1.5 month , ukiagiza Kwa ndege ni sku Saba tuu unapata mzigo , Ila gharama ni 50000 kila smu, Kwa meli usafr ni chini tuu kama 2000
kampuni gani unatumia kuagizia..
 
tambo za kwenda..
Zote hizo bei za kawaida tu, LG G8x ni equivalent ya S10/Note 10 lakini ina feature zote za kawaida kama memory card, tundu la headphone, ina Dac kali sana kwa wale wenye Headphone za Bei ghali, inakaa na Chaji sana. Sema LG ameshaondoka kwenye simu version mpya za hii simu kama Android 12 haipo stable, hapa Natumia android 10.
 
aah sawa, hivi nikweli kuna simu itakuja kuletwa inaitwa tesla pie phone?..
 
honor zinaanzia shngpi..?.. Huawei kwamba ni nzuri kuliko Samsung?
Inategemea na model, na Honor ni Kama xiaomi tu zipo mpaka laki 2 na laki 3 ila haimaanishi ukinunua honor ya laki 3 itaizidi redmi 10C uzuri.
 
Inategemea unataka nini mkuu, mfano kuna mawinga kkoo maisha yao yote wanategemea Camera za simu ina make sense kununua Pixel kama hii.

Kuna mwengine mtu wa field ukaaji chaji ni muhimu hii pixel 3a haitamfaa.

So angalia matumizi yako mkuu unahitaji simu ya aina gani.
4a VIP kwenye ukaaji WA chaji na 3a XL nikioata zile za mtumba
 
Back
Top Bottom