Angalia uwezo wa Samsung Galaxy S22 Ultra

Angalia uwezo wa Samsung Galaxy S22 Ultra

1. Watu wananunua kwa hela zao hawapewi bure wana kila haki ya kushabikia na kununua kitu wanachokipenda

2. Ni mjinga peke yake anaefikiri kwamba sababu sehemu fulani wanatengeneza simu basi watu wote nao watengeneze simu.

3. Kutengeneza simu sio Ujanja wengi wanaotengeza simu wana Mishahara mibovu, kuna watu wanaotengeneza simu wanalipwa hela mbovu kuliko walimu Tanzania.

Wanaopiga hela ama kuuza Hizo simu ni wale Wenye mitaji kama ilivyo sehemu yoyote duniani, Simu ni Biashara kama unga wa Ngano, Tambi, Nyama, Ving'amuzi etc

Mwenye mtaji anatengenenza anauza.
Wow.. what a brilliant answer.
 
Back
Top Bottom