Thanks Chief nina bajeti ya 550,000 so nahitaji simu yenye camera yenye uangalau wa kupata vijipicha vizuri.Mkuu hizo Camera za Tecno nyengine zinajaza tu namba hapo, mfano hio Qvga camera ni 0.3MP haina kazi yoyote ipo tu kuonesha simu ina camera nyingi. Same kwa Macro na Depth kwenye Nokia.
So Hapo Tecno ni kama ina Camera moja tu na hio Nokia kama ina Camera 2 tu.
Kwenye Main sensor ngumu kujua hapo mpaka uone reviews, Gsmarena haja review simu zote mbili, na sifahamu site inayo review ambayo nitapata data za simu zote mbili.
Pia kama ni mpenzi wa camera zipo simu nzuri zaidi