Mi huwa naagiza Kwa njia ya meli mkuu inachukua maximum 1.5 month , ukiagiza Kwa ndege ni sku Saba tuu unapata mzigo , Ila gharama ni 50000 kila smu, Kwa meli usafr ni chini tuu kama 2000mda gani itachukua?..
Simu yangu main ni LG G8x, pia nia OP 6T na Xperia Xz1C.nimekupata mkuu.. wewe unatumia simu gani?
kampuni gani unatumia kuagizia..Mi huwa naagiza Kwa njia ya meli mkuu inachukua maximum 1.5 month , ukiagiza Kwa ndege ni sku Saba tuu unapata mzigo , Ila gharama ni 50000 kila smu, Kwa meli usafr ni chini tuu kama 2000
tambo za kwenda..Simu yangu main ni LG G8x, pia nia OP 6T na Xperia Xz1C.
Zote hizo bei za kawaida tu, LG G8x ni equivalent ya S10/Note 10 lakini ina feature zote za kawaida kama memory card, tundu la headphone, ina Dac kali sana kwa wale wenye Headphone za Bei ghali, inakaa na Chaji sana. Sema LG ameshaondoka kwenye simu version mpya za hii simu kama Android 12 haipo stable, hapa Natumia android 10.tambo za kwenda..
aah sawa, hivi nikweli kuna simu itakuja kuletwa inaitwa tesla pie phone?..Zote hizo bei za kawaida tu, LG G8x ni equivalent ya S10/Note 10 lakini ina feature zote za kawaida kama memory card, tundu la headphone, ina Dac kali sana kwa wale wenye Headphone za Bei ghali, inakaa na Chaji sana. Sema LG ameshaondoka kwenye simu version mpya za hii simu kama Android 12 haipo stable, hapa Natumia android 10.
Hakuna simu ya Tesla na kutengeneza simu si kazi rahisi, unless uende china ukanunue ubandikiwe Brand yako.aah sawa, hivi nikweli kuna simu itakuja kuletwa inaitwa tesla pie phone?..
mh kwahiyo china ndio wataalamu kwenye simu?..Hakuna simu ya Tesla na kutengeneza simu si kazi rahisi, unless uende china ukanunue ubandikiwe Brand yako.
vipi kuhusu Huawei ni simu nzuri?Hakuna simu ya Tesla na kutengeneza simu si kazi rahisi, unless uende china ukanunue ubandikiwe Brand yako.
Ndo wana viwanda ambavyo havina jina, ODM. Vietnam, India na kwengine viwanda vinamilikiwa na Kampuni kama Samsung, vina Ubia na Apple etc. Ngumu kwa kampuni mpya kutumia investment za wengine.mh kwahiyo china ndio wataalamu kwenye simu?..
Nzuri ila mpya zote hazina playstore.vipi kuhusu Huawei ni simu nzuri?
aah nimekupata..Ndo wana viwanda ambavyo havina jina, ODM. Vietnam, India na kwengine viwanda vinamilikiwa na Kampuni kama Samsung, vina Ubia na Apple etc. Ngumu kwa kampuni mpya kutumia investment za wengine.
playstore sio shida shida ni simu nzuri kuanzia performance na camera..?Nzuri ila mpya zote hazina playstore.
Zipo za kutosha, ila Huawei usitegemee simu za bei chee nzuri, Huawei ni premium brand. Kama unataka za Bei rahisi cheki Honorplaystore sio shida shida ni simu nzuri kuanzia performance na camera..?
honor zinaanzia shngpi..?.. Huawei kwamba ni nzuri kuliko Samsung?Zipo za kutosha, ila Huawei usitegemee simu za bei chee nzuri, Huawei ni premium brand. Kama unataka za Bei rahisi cheki Honor
Inategemea na model, na Honor ni Kama xiaomi tu zipo mpaka laki 2 na laki 3 ila haimaanishi ukinunua honor ya laki 3 itaizidi redmi 10C uzuri.honor zinaanzia shngpi..?.. Huawei kwamba ni nzuri kuliko Samsung?
kwa maana hiyo honor ya laki 3 na Redmi 10C bora redmi?..Inategemea na model, na Honor ni Kama xiaomi tu zipo mpaka laki 2 na laki 3 ila haimaanishi ukinunua honor ya laki 3 itaizidi redmi 10C uzuri.
me natumia redmi 10 ram 4 gb 128 lakini nataka kuuza ili nijaribu na brand zingine..Inategemea na model, na Honor ni Kama xiaomi tu zipo mpaka laki 2 na laki 3 ila haimaanishi ukinunua honor ya laki 3 itaizidi redmi 10C uzuri.
4a VIP kwenye ukaaji WA chaji na 3a XL nikioata zile za mtumbaInategemea unataka nini mkuu, mfano kuna mawinga kkoo maisha yao yote wanategemea Camera za simu ina make sense kununua Pixel kama hii.
Kuna mwengine mtu wa field ukaaji chaji ni muhimu hii pixel 3a haitamfaa.
So angalia matumizi yako mkuu unahitaji simu ya aina gani.