Angalieni umbo la hiki kiwanja, maana huyu mtu analia

Angalieni umbo la hiki kiwanja, maana huyu mtu analia

G

guest-1788672427

Guest
Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba.

Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa

Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510

Screenshot_20260716-114305_Facebook.jpg


Sasa naomba niulize kweli hapo ni padogo hapotoshi kujenga nyumba na kauziwa 5.2M
 
Back
Top Bottom