Angalieni umbo la hiki kiwanja, maana huyu mtu analia

Angalieni umbo la hiki kiwanja, maana huyu mtu analia

Ila maeneo ya pale karibu na kwake yaan jiran zake wamejenga nyumba za ghorofa zenye ghorofa moja moja
Kwani alipozungumza na hao majirani walimwambia kwamba ujenzi wa nyumba ghorofa moja ni sharti la ujenzi katika eneo hilo? au yy anaona akijenga ya kiwango chake atakuwa amejidunisha kwao (Inferiority complex) Mtu hujikuna pale mkono unafika. Wahenga walisemaga Usimwige tembo kunya.
 
Hajawahi kuzungumza na jiran yeyote mara nyingi alipowaulizia, alijibiwa hawaishi nchini
 
Alitembelea before hajalipa ila baada ya kulipa ndipo akaanza kujihoji
Kwa kifupi tu, mwambie mchakato wa kumiliki eneo (Plot)na kujenga nyumba ni mchakato (Process) mrefu unaohitaji kujipanga vizuri; kuwa mvumilivu na kuzingatia umakini katika maamuzi anayofanya. Ajue wapo matapeli anaweza kuwa ni Fursa kwao.
 
Aulize kuhusu masharti ya ujenzi. Kiasi gani anatakiwa kuacha wazi kila upande na kiasi gani anaweza kufunika. Baada ya hapo ndio atajua nafasi yake ya kujenga. Asisahau kuwa anahitaji pia kuacha nafasi ya septic.

Amandla....
 
Back
Top Bottom