G
Nimeona guesthouse kubwa imegengwa kwenye eneo kama hilo na hakuna nafasi imeachwaKuna mtu anakiwanja kama hiko na sqm ni hizohizo aisee amejenga nyumba kali sana na amepata parking ya magari matatu.
Yeah! Nakazia hoja. Kama mleta mada anaona ni vp. akiuze kwa wanaojua matumizi ya eneo la ardhi.Nimeona guesthouse kubwa imegengwa kwenye eneo kama hilo na hakuna nafasi imeachwa
Kimekaa umbo kama hilo kwenye picha ???Kuna mtu anakiwanja kama hiko na sqm ni hizohizo aisee amejenga nyumba kali sana na amepata parking ya magari matatu.
Hata sielewiDah! Sasa kama ameona hapafai alinunua kwa kulazimishwa au vipi?
Kumbe inawezekanaNimeona guesthouse kubwa imegengwa kwenye eneo kama hilo na hakuna nafasi imeachwa
Ok ok amchoree raman kutokana na umbo la kiwanja eeeh ili asipoteze nafasiAtafute Architecture amfanyie designing !!
Hapo ujue anakosa mshauri mzuriHata sielewi
Umeshajenga ? Yeye anahisi hilo umbo la kiwanja haifai kujenga nyumba et itakaa vibayaMshamba huyo, nina kiwanja kama kashata , yaani kimekaa msambamba kidogo ...halafu kipo kwenye kona , hiyo sehemu nilinunua hiko tu ndiyo kidogo .
Ok ok amchoree raman kutokana na umbo la kiwanja eeeh ili asipoteze nafasi
Umeshajenga ? Yeye anahisi hilo umbo la kiwanja haifai kujenga nyumba et itakaa vibaya nMshamba huyo, nina kiwanja kama kashata , yaani kimekaa msambamba kidogo ...halafu kipo kwenye kona , hiyo sehemu nilinunua hiko tu ndiyo kidogo .
Amekosa rahaHapo ujue anakosa mshauri mzuri
Ajiongeze kidogo. Nyumba hujengwa kufuatana na mpangilio wa mji(Makazi).Umeshajenga ? Yeye anahisi hilo umbo la kiwanja haifai kujenga nyumba et itakaa vibaya
Raha jipe mwenyewe.Amekosa raha
Ila maeneo ya pale karibu na kwake yaan jiran zake wamejenga nyumba za ghorofa zenye ghorofa moja mojaAjiongeze kidogo. Nyumba hujengwa kufuatana na mpangilio wa mji(Makazi).
Awatafute wataalam wa mipango miji watamsaidia.