G
guest-1788672427
Guest
- Thread starter
-
- #41
KumbeUdongo wa Kibaha ni mbaya sana kwa ujenzi. Akijenga kaghorofa itampunguzia gharama za ujenzi na kumuachia nafasi kubwa ya bustani.
Amandla...
Nakazia hoja: Zipo nafasi za lazima kuachwa kulia,kushoto, mbele na Nyuma ya jengo lako. Tena jengo lazima liwe na free space kwa ajili ya Upanuzi, kuweka uzio sehemu ya kuchezea watoto(Kama wapo)/kupumzika n.k. Kwa huku mikoani/Wilayani unaacha ( ni Optional) eneo la mabanda ya uani choo cha nje na eneo la chanzo cha maji i.e. Bomba la nje/ au mahali pa kusimika Sim Tank.Aulize kuhusu masharti ya ujenzi. Kiasi gani anatakiwa kuacha wazi kila upande na kiasi gani anaweza kufunika. Baada ya hapo ndio atajua nafasi yake ya kujenga. Asisahau kuwa anahitaji pia kuacha nafasi ya septic.
Amandla....
Msingi wake unatakiwa kuwa na nondo n.k. Akijenga kaghorofa, eneo la msingi litapungua hivyo kumpunguzia gharama.Kumbe
SawaAkiwekeza kwenye bustani na miti, anaweza kuwa na makazi ambayo wenye makasri watamuonea wivu.
Amandla...
Kweli kabisa. ie. Awekeze na kuwatumia wenye hayo makasri kama Fursa kwake.Akiwekeza kwenye bustani na miti, anaweza kuwa na makazi ambayo wenye makasri watamuonea wivu.
Amandla...
Sawa apambane - Dunia sio rafiki sana.Ni ke ana 28
Duh kuacha tena nafas ? Ila kazungukwa na Barabara pande zote 3Aulize kuhusu masharti ya ujenzi. Kiasi gani anatakiwa kuacha wazi kila upande na kiasi gani anaweza kufunika. Baada ya hapo ndio atajua nafasi yake ya kujenga. Asisahau kuwa anahitaji pia kuacha nafasi ya septic.
Amandla....
Akijenga kaghorofa, Simtank anaweza kuiweka juu ya paa na hivyo kumuongezea nafasi ya bustani.Nakazia hoja: Zipo nafasi za lazima kuachwa kulia,kushoto, mbele na Nyuma ya jengo lako. Tena jengo lazima liwe na free space kwa ajili ya Upanuzi, kuweka uzio sehemu ya kuchezea watoto(Kama wapo)/kupumzika n.k. Kwa huku mikoani/Wilayani unaacha ( ni Optional) eneo la mabanda ya uani choo cha nje na eneo la chanzo cha maji i.e. Bomba la nje/ au mahali pa kusimika Sim Tank.
Anajenga vizuri tuu na parking anapata!Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba.
Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa
Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510
View attachment 3630151
Sasa naomba niulize kweli hapo ni padogo hapotoshi kujenga nyumba na kauziwa 5.2M
Unamshauri ajenge ghorofa?Udongo wa Kibaha ni mbaya sana kwa ujenzi. Akijenga kaghorofa itampunguzia gharama za ujenzi na kumuachia nafasi kubwa ya bustani.
Amandla...
Mara nyingi huwa mtu unatakiwa mita 3 kwenye upande wenye barabara na mita 1.5 pande nyingine. Kama ni kiwanja cha Manispaa, watamsumbua sana asipofanya hivyo. Ila ni changamoto nzuri sana.Duh kuacha tena nafas ? Ila kazungukwa na Barabara pande zote 3
Au ndiyomaana watu wa eneo lile wajenga hizo ghorofaUdongo wa Kibaha ni mbaya sana kwa ujenzi. Akijenga kaghorofa itampunguzia gharama za ujenzi na kumuachia nafasi kubwa ya bustani.
Amandla...
Ndio. Mita 510 sio nyingi, ghorofa itamuachia nafasi kubwa. Tuseme anataka kujenga nyumba yenye sqm 100, anaweza kujenga chini sqm 50 na juu 50. Aidha, itakuwa rahisi zaidi kuijenga kwa awamu.Unamshauri ajenge ghorofa?
Hatujajua bado kama ameridhika kujenga ghorofa(Kulingana na uwezo alio nao).Akijenga kaghorofa, Simtank anaweza kuiweka juu ya paa na hivyo kumuongezea nafasi ya bustani.
Amandla...
Je, Mfukoni/Uwezo unamruhusu? Asije akaishia katikati.Ndio. Mita 510 sio nyingi, ghorofa itamuachia nafasi kubwa. Tuseme anataka kujenga nyumba yenye sqm 100, anaweza kujenga chini sqm 50 na juu 50. Aidha, itakuwa rahisi zaidi kuijenga kwa awamu.
Amandla...
Duh hatariMara nyingi huwa mtu unatakiwa mita 3 kwenye upande wenye barabara na mita 1.5 pande nyingine. Kama ni kiwanja cha Manispaa, watamsumbua sana asipofanya hivyo. Ila ni changamoto nzuri sana.
Amandla...
Maybe kwa awamu...Je, Mfukoni/Uwezo unamruhusu? Asije akaishia katikati.
Usiogope. Wenzio wamefaulu na wapo kwenye nyumba mali zao.Duh hatari