Agreed !atafute architect ✅️
architecture ni somo
Nimjenga bro , fresh tuUmeshajenga ? Yeye anahisi hilo umbo la kiwanja haifai kujenga nyumba et itakaa vibaya
Hio ilitakiwa iwe open space. A garden aka park fulani.Waliokua wanavikata wamezingua
Aisee! Sasa si afadhali akanunue kiwanja sehemu ingine kamaana uwezo wa kujenga nyumba aina hii.Ataweza tu, muda anao. Watu wanaogopa bure ghorofa. Anaweza kufanya hivi:
1. Nyumbe iwe ya ghorofa mbili.
2.Chini anakuwa na chumba kimoja, stoo, choo na sehemu ya kupaki gari na kuanika nguo.
3.Ghorofa ya kwanza anakuwa na sebule iliyoungana na dining, jiko, choo na chumba cha kulala mgeni.
4. Ghorofa ya pili anakuwa na Master pamoja na vyumba viwili vya watoto.
5 Kwenye paa anakuwa na sehemu ya Sim Tank, sola na bustani.
Anaanza kwa kujenga nguzo na sakafu zote zinazohitajika.
Baada ya hapo anagawa vyumba. Anaweza hata kuhamia ghorofa ya kwanza kabla hajamaliza nyumba yote. Anaweza kujipa hata miaka minne ya kukamilisha ujenzi wake.
Aidha, ghorofa ina usalama zaidi. Na kwa vile nyumba yake itakuwa na sehemu kubwa ya bustani na ya kuchezea watoto itakuwa na thamani zaidi ya hao waliojenga na kujaza uwanja wote.
Amandla...
Muulize ana shilingi ngapi auziwe akili njemaAmenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba.
Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa
Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510
View attachment 3630151
Sasa naomba niulize kweli hapo ni padogo hapotoshi kujenga nyumba na kauziwa 5.2M
Ni sahihi hicho kiwanja ni kidogo kwa sababu kilivyo.set up ya nyumba hapo inabidi amtafute mchora ramani mahiri,pia namna ya kuiseti fensi.Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba.
Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa
Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510
View attachment 3630151
Sasa naomba niulize kweli hapo ni padogo hapotoshi kujenga nyumba na kauziwa 5.2M
Hatutupi kitu, hata makongolo siku hizi tunauza mifupa nchi za nje, hatutupi kitu.Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba.
Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa
Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510
View attachment 3630151
Sasa naomba niulize kweli hapo ni padogo hapotoshi kujenga nyumba na kauziwa 5.2M
Shida ni kuwa itakuwa ngumu sana kuuza hicho kiwanja ili apate pesa ya kununua kiwanja kingine. Atakaeweza kununua ni jirani yake ambae atampa pesa kidogo kwa sababu atajua pamemshinda.Aisee! Sasa si afadhali akanunue kiwanja sehemu ingine kamaana uwezo wa kujenga nyumba aina hii.
Akitaka kuuza anaweza kupata mteja kweli kwa bei ileile alonunulia ?Hio ilitakiwa iwe open space. A garden aka park fulani.
Aliangalia ila sasa baada ya kulipia ndo akaanza kutafakari imekuaje kuajeHakukagua kabla ya kununua?
Amejaribu kutafuta mteja amekosa labda atumie madalaliShida ni kuwa itakuwa ngumu sana kuuza hicho kiwanja ili apate pesa ya kununua kiwanja kingine. Atakaeweza kununua ni jirani yake ambae atampa pesa kidogo kwa sababu atajua pamemshinda.
Wakati huo huo anaweza kujenga haka kaghorofa kwa awamu. Na hata akishindwa katikati watu watampa pesa nzuri kwa sababu atakuwa ameonyesha kuwa inawezekana kujenga katika eneo lake.
Amandla...
Aah aah wewe! Hicho kiwanja muundo wa meli ya kifahari eti atauza kwa hela kiduchu! Haitawezekana. Kiwanja kama hiki kilipigwa mnada kule Ugiriki kwa bei kubwa kuliko hivyo vingine.Shida ni kuwa itakuwa ngumu sana kuuza hicho kiwanja ili apate pesa ya kununua kiwanja kingine. Atakaeweza kununua ni jirani yake ambae atampa pesa kidogo kwa sababu atajua pamemshinda.
Wakati huo huo anaweza kujenga haka kaghorofa kwa awamu. Na hata akishindwa katikati watu watampa pesa nzuri kwa sababu atakuwa ameonyesha kuwa inawezekana kujenga katika eneo lake.
Amandla...
HahahahAah aah wewe! Hicho kiwanja muundo wa meli ya kifahari eti atauza kwa hela kiduchu! Haitawezekana. Kiwanja kama hiki kilipigwa mnada kule Ugiriki kwa bei kubwa kuliko hivyo vingine.
Sqm 510 mbona ni kiwanja kikubwa sana kwa eneo la biashara!Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba.
Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa
Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510
View attachment 3630151
Sasa naomba niulize kweli hapo ni padogo hapotoshi kujenga nyumba na kauziwa 5.2M
Yeye anataka kwaajili ya makaziSqm 510 mbona ni kiwanja kikubwa sana kwa eneo la biashara!
Hilo eneo linafaa kuweka fremu za biashara, pub, nk. Kama ni makazi, atafute kiwanja cha pembezoni.Yeye anataka kwaajili ya makazi
Itawezekana pub ? Ikiwa pembezon kuna watu wanajenga makazi na pemben pia kuna kanisa la KKKT je watakubal kuwawekea pub ?Hilo eneo linafaa kuweka fremu za biashara, pub, nk. Kama ni makazi, atafute kiwanja cha pembezoni.