Angalieni umbo la hiki kiwanja, maana huyu mtu analia

Ubaya wake ni nini?
Ni udongo mweusi ambao ukiloa una vimba na una shrink ukikauka. Ukikauka unakuwa na nyufa. Kutokana na hayo mabadiliko, uwezo wake wa kubeba mzigo ni mdogo sana. Unatakiwa uondolewe wote kabla ya kujenga msingi. Usipofanya hivyo kuta zinaweza kuwa na nyufa zinazoenda mpaka kwenye msingi. Kuu karabati ni kazi kubwa mno.

Amandla....
 
Duh
 
Aisee maisha yanaenda kasi sana, ndio bei imefikia huko?
Ni kibaha ipi hii maana naambiwa huko na pwani yote ukiwa na milion 2 hukosi 20×20
 
Aisee maisha yanaenda kasi sana, ndio bei imefikia huko?
Ni kibaha ipi hii maana naambiwa huko na pwani yote ukiwa na milion 2 hukosi 20×20
Mhmh kibaha milion 2 inawezekana maana bado kuna mapori mengi kule boko mnemela kwa mathias kwa mfipa hata mlandizi na kongowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…