GE2025 Angalizo Kabla ya Shari: Masaa 48 Kabla ya Uamuzi wa Uchaguzi au Maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,256
Reaction score
44,597
Na. M .M. Mwanakijiji

Kuna kitu kinaitwa "best case scenario na worst case scenario". Kutegemea unayemuuliza kuelekea keshokutwa mitazamo inaweza kutofautiana.

Kwa uapnde wa serikali best case scenario ni kuwa uchaguzi utafanyika kwa amani, hakuna maandamano na Rais Samia atachaguliwa na nchi itaendelea kwenye utulivu kuelekea kuapishwa kwake na kuandika historia.

Kwa upande wa worst case scenario ni kuwa siku inafika na mara maandamano yanaanza kwanza kidogo kidogo na mara makundi ya vijana katika majiji na miji mikubwa wanaanza kuzuia upigaji kura hadi uchaguzi unavurugika.

Katika hili jeshi la polisi linaingia kudhibiti waandamanaji lakini kwa zaidi ya masaa 24 hali haijatulia. Taarifa za watu kuuawa na video za mauaji hayo zinaanza kusambaa na kusababisha vurugu zaidi. Mwisho wa siku IGP na wakuu wa wengine wanalazimishwa kujiuzulu na nchi au sehemu ya nchi inawekwa kwenye hali ya hatari.

Kutangazwa kwa hali ya hatari kuna lazimisha JWTZ kuitwa kusaidia kutuliza nchi. Hii italeta jambo baya zaidi kuweza kutokea..Jeshi kuchukua nchi. This is the worst case scenario. Binafsi sioni uwezekano wa hatua hizi mbili za mwisho kufikiwa unless polisi watumie nguvu zaidi kudhibiti waandamanaji kuliko inavyohitajika na hivyo wachochee wenyewe kuiangusha serikali.

Kwa Waandamanaji, kwa kweli the best case scenario ni kufanikiwa kwa maandamano. Kwamba vijana wengi wajitokeze, waingilie upigaji kura na kusababisha uchaguzi mkuu uvurugike na kumlazimisha Rais Samia ama kukaa chini na kusikiliza malalamiko yao au wamlazimishe aamue kuachia madaraka na kukimbia nchi kama yaliyomkuta Rais wa Madagascar siku chache zilizopita.

Katika best case scenario hii, waandamanaji wanalazimisha kuachiliwa kwa Tundu Lissu, Heche, Polepole na wengine kama mojawapo ya masharti ya vijana kutulia. Katika hili mabadiliko yanakubaliwa katika muda uliowekwa ikiwemo kurudiwa kwa uchaguzi katika mazingira bora ya kisiasa na kisheria. Hivyo best case scenario kwa hawa ni kwa kifupi kufanikiwa kwa NO REFORMS NO ELECTIONS.

Kwa upande wa worst case scenario kwa waandamanaji ni kuwa pamoja na promotion yote iloyofanyika kwenye mitandao ya kijamii kufika October 29 hakuna maandamano yoyote ya maana. Wachache watakaojaribu watadhibitiwa kwa haraka na hivyo uchaguzi ukaenda kufanyika katika hali ya utulivu bila fyoko yoyote toka kwa yeyote.

Lakini baya zaidi ni kuwa endapo maandamano haya hayatafanyika au yakafanyika na kuzimwa kabla chai haijapoa ina maana harakati za mabadiliko kwa njia ya mkato hazina nafasi jwa Watanzania. Kama mtu mmoja alivyosema kama siyo sasa basi "never". Tundu Lissu na wenzake wataozea jela, na wale waliotoweka ndio watapotea milele.

Kwa maneno mengine kutokufanikiwa kwa maandamano kutaipa CCM mamlaka(mandate) kubwa na kiburi kuwa haiwezi kuondolewa kwa mbinde wala upinde. Kwamba njia ya mkato ya kuitoa CCM madarakani haijapatikana na kuwa jeshi letu bado halijaweza kuingizwa kwenye kuingilia siasa kama baadhi wanavyoombea.

Baya zaidi ni kuwa kutokufanikiwa kwa maandamano kutaleta kisasi ambacho hatujawahi kukiona isipokuwa kama Rais Samia mwenyewe ataamua kusamehe. Hili historia inasubiria.

Vyovyote vile ilivyo masaa 48 yajayo yataamua mbele ya dunia Tanzania inaenda wapi na kwa vipi kuanzia tarehe 30 Oktoba. Kama walivyosema wahenga..tutaamua kusuka au kunyoa. Ila kuamua tutaamua tu..na kama hatutaamua nako ni kuamua kutokuamua.
 
Hao JW usiwahamini hata kidogo wana ulimi mbili hao
 
Kwa Waandamanaji, kwa kweli the best case scenario ni kufanikiwa kwa maandamano. Kwamba vijana wengi wajitokeze, waingilie upigaji kura na kusababisha uchaguzi mkuu uvurugike na kumlazimisha Rais Samia ama kukaa chini na kusikiliza malalamiko yao au wamlazimishe aamue kuachia madaraka na kukimbia nchi kama yaliyomkuta Rais wa Madagascar siku chache zilizopita.
Hiki ndicho kitatokea ila ubaya kwenye waandamanaji humohumo kutakua na waandamanaji wanaopinga maandamano watakutana katikati kwa hio zitapigwa kidogo
 
Nimesoma mawazo mengi ya kuhusiana na maandamano, uzi huu una very best strategies. Wakiweza watumie mawazo haya.
 
Mwanakijiji, hongera sana kwa hili, uchambuzi wako umekuwa mzuri sana, ungekua na maandishi mengi kama haya kwa muda mfupi uliopita yangesaidia sana hapa.

At least kuziba pengo lilopo kwa hawa journalist uchwala akian Balile na Paskali.

Hongera Mwanakijiji!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tunaotaka maandamano tunafanya juu chini waandamanaji wazuie uchaguzi, siku ya leo na kesho tutarajie haya

1. Orodha ya vituo vyote vya kura/ofisi za serikali za mitaa, kila mtu ajichagulie target yake
2. Ofisi za CCM Mashinani, kila mtu ajichagulie target yake
3. Orodha ya vituo vya polisi na majengo ya serikali kila mtaa
4. Majina ya Mabalozi/washirika wa CCM kila mtaa wanaowareport watanzania wenzao watekwe

Taarifa hizi zikiwa wazi kila mmoja ataamua azitumie vipi, ni kheri tuingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe kuiokoa nchi kwa muda mrefu.

Nyerere aliona mbali aliposema, CCM ikuyumba na nchi itayumba, Chuki na njaa ya Damu ya Samia imeliua hili Taifa
 
Tulipofika kama Taifa, we are just cutting our losses; Na kama tuna busara na akili tuangalie tulipojikwaa turudi nyuma na tunyooshe mambo ili kama taifa tuanze kusonga mbele; Hapa tulipo hakuna magic wand kwamba utasema Abracadabra and everything will be Kosher - Humpty Dumpty sijamwangalia vizuri ila kama hajavunjika yupo mbioni kuvunjika
 
Mimi naona Taifa linakwenda kukombolewa tena kwa kishindo kabisa .

Ndiyo changamoto ya watanzania ni uwoga lakini wakifanikiwa tu kulianzisha na damu ikapata moto ,aisee katika mtu jasiri mtanganyika ni mwingine sana .

Samuya Bye-bye
 
Kama Mtanzania huwezi kuandamana basi ni kheri usipige kura.

Kupiga kura ni kubariki waliotekwa wamalizwe huko walipo. Kupiga kura ni kubariki mwanao atekwe.

Sio lazima uingie barabarani angalau tulia nyumbani ila usiwe sehemu ya kuhalalisha USHETANI.
 
Back
Top Bottom