GE2025 Angalizo Kabla ya Shari: Masaa 48 Kabla ya Uamuzi wa Uchaguzi au Maandamano

GE2025 Angalizo Kabla ya Shari: Masaa 48 Kabla ya Uamuzi wa Uchaguzi au Maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu umetaja scenario scenario scenario ni kweli kabisa ila umesahau hii kitu Mungu hutumia watu kuweka wenye mamlaka ,Mungu hutumia watu kuwashusha wenye mamlaka.

Kesi yetu sisi,Nadiriki kusema imesha fika kwa Mungu kama huamini juu ya Mungu basi tuseme imefika kwa mwenye haki.

Kilio cha haki yupo mwenye haki atasimama na wataka haki.

Maana kilele cha uvunjaji haki kimegusa kila sehemu to the maximum.

Wanasiasa Pinzani wameguswa
Wanasiasa Chama tawala wameguswa
Taasisi zimeguswa
Wafanyakazi wameguswa
Watoto wa Wakulima wameguswa
Watoto wa Wafugaji n
Wananchi mmojammoja
Wafanya biashara
Viongozi wa dining.
Makanisa
Kila sehemu ikilia haki haki haki yupo mwenye haki atawashindia.

Kibaya Woga,woga ndo sumu mbaya kuliko hata uchawi wenyewe.
Na
Goods news ni kwamba unabii mwingi Nchini na nje ya nchi hii unaongea Lugha moja.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Alipangalo Mungu hakuna wa kupindisha.
 
Na. M .M. Mwanakijiji

Kuna kitu kinaitwa "best case scenario na worst case scenario". Kutegemea unayemuuliza kuelekea keshokutwa mitazamo inaweza kutofautiana.

Kwa uapnde wa serikali best case scenario ni kuwa uchaguzi utafanyika kwa amani, hakuna maandamano na Rais Samia atachaguliwa na nchi itaendelea kwenye utulivu kuelekea kuapishwa kwake na kuandika historia.

Kwa upande wa worst case scenario ni kuwa siku inafika na mara maandamano yanaanza kwanza kidogo kidogo na mara makundi ya vijana katika majiji na miji mikubwa wanaanza kuzuia upigaji kura hadi uchaguzi unavurugika.

Katika hili jeshi la polisi linaingia kudhibiti waandamanaji lakini kwa zaidi ya masaa 24 hali haijatulia. Taarifa za watu kuuawa na video za mauaji hayo zinaanza kusambaa na kusababisha vurugu zaidi. Mwisho wa siku IGP na wakuu wa wengine wanalazimishwa kujiuzulu na nchi au sehemu ya nchi inawekwa kwenye hali ya hatari.

Kutangazwa kwa hali ya hatari kuna lazimisha JWTZ kuitwa kusaidia kutuliza nchi. Hii italeta jambo baya zaidi kuweza kutokea..Jeshi kuchukua nchi. This is the worst case scenario. Binafsi sioni uwezekano wa hatua hizi mbili za mwisho kufikiwa unless polisi watumie nguvu zaidi kudhibiti waandamanaji kuliko inavyohitajika na hivyo wachochee wenyewe kuiangusha serikali.

Kwa Waandamanaji, kwa kweli the best case scenario ni kufanikiwa kwa maandamano. Kwamba vijana wengi wajitokeze, waingilie upigaji kura na kusababisha uchaguzi mkuu uvurugike na kumlazimisha Rais Samia ama kukaa chini na kusikiliza malalamiko yao au wamlazimishe aamue kuachia madaraka na kukimbia nchi kama yaliyomkuta Rais wa Madagascar siku chache zilizopita.

Katika best case scenario hii, waandamanaji wanalazimisha kuachiliwa kwa Tundu Lissu, Heche, Polepole na wengine kama mojawapo ya masharti ya vijana kutulia. Katika hili mabadiliko yanakubaliwa katika muda uliowekwa ikiwemo kurudiwa kwa uchaguzi katika mazingira bora ya kisiasa na kisheria. Hivyo best case scenario kwa hawa ni kwa kifupi kufanikiwa kwa NO REFORMS NO ELECTIONS.

Kwa upande wa worst case scenario kwa waandamanaji ni kuwa pamoja na promotion yote iloyofanyika kwenye mitandao ya kijamii kufika October 29 hakuna maandamano yoyote ya maana. Wachache watakaojaribu watadhibitiwa kwa haraka na hivyo uchaguzi ukaenda kufanyika katika hali ya utulivu bila fyoko yoyote toka kwa yeyote.

Lakini baya zaidi ni kuwa endapo maandamano haya hayatafanyika au yakafanyika na kuzimwa kabla chai haijapoa ina maana harakati za mabadiliko kwa njia ya mkato hazina nafasi jwa Watanzania. Kama mtu mmoja alivyosema kama siyo sasa basi "never". Tundu Lissu na wenzake wataozea jela, na wale waliotoweka ndio watapotea milele.

Kwa maneno mengine kutokufanikiwa kwa maandamano kutaipa CCM mamlaka(mandate) kubwa na kiburi kuwa haiwezi kuondolewa kwa mbinde wala upinde. Kwamba njia ya mkato ya kuitoa CCM madarakani haijapatikana na kuwa jeshi letu bado halijaweza kuingizwa kwenye kuingilia siasa kama baadhi wanavyoombea.

Baya zaidi ni kuwa kutokufanikiwa kwa maandamano kutaleta kisasi ambacho hatujawahi kukiona isipokuwa kama Rais Samia mwenyewe ataamua kusamehe. Hili historia inasubiria.

Vyovyote vile ilivyo masaa 48 yajayo yataamua mbele ya dunia Tanzania inaenda wapi na kwa vipi kuanzia tarehe 30 Oktoba. Kama walivyosema wahenga..tutaamua kusuka au kunyoa. Ila kuamua tutaamua tu..na kama hatutaamua nako ni kuamua kutokuamua.
Kuna scenario moja tu, nayo ni kwamba maandamano hayatafanyika na kura tutapiga kwa amani japo turn out itakuwa ndogo.

Hili limekwisha, tuangalie tunavuka vipi 2030.
 
Kuna scenario moja tu, nayo ni kwamba maandamano hayatafanyika na kura tutapiga kwa amani japo turn out itakuwa ndogo.

Hili limekwisha, tuangalie tunavuka vipi 2030.
Tanzania ikikombolewa machawa wote nitawasaka niwape stahiki yenu. Nyie ndio mnaoleta madhila kwa watanzania. Serikali itakayoshika hatamu baada ya nchi kukombolewa nitaiomba iniachie hii kazi ya kutoa sitahiki kwa machawa wote kwa gharama zangu mwenyewe. Nitawawinda popote pale hata kama ni nje ya nchi ili mpate mnachostahili. “Watch this space.”
 
Kuna scenario moja tu, nayo ni kwamba maandamano hayatafanyika na kura tutapiga kwa amani japo turn out itakuwa ndogo.

Hili limekwisha, tuangalie tunavuka vipi 2030.
Mzee Mwanakijiji soma kwa kurudia post hii. Ukiwa nje ya nchi, utaamini kuna maandamano ila ukiwa Tanzania, huu ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli japo ni mchungu kwenu.

Watanzania wenye akili na wanaojitmbua hawawezi kushiriki maandamo ambayo hawajui viongozi wake wala mustakabali wa baada yake. Tatizo wenye maandamano yao wamejificha wakawadhihirisha wendawazimu akina Mange et.ambao kimsingi profiles zao kwa watanzania ni very questionable.

Vilevile, kitendo cha maandamano kuwekwa tarehe 29 ambayo ni siku ya uchaguzi imeleta maswali mengi kwa watanzania wanaoamini katika kuvumiliana. Wanaona kama kuna nia ovu dhidi ya Taifa. Madai makuu ya maandamano ni matokeo ya kuandikwa kwa KATIBA MPYA ambapo, CCM ikiwa ni chama kinachopewa nafasi kubwa kushinda imejumuisha suala hilo katika Ilani yake. Kwanini itumike njia ya vurugu kupata jambo ambalo wahusika wamelikubali kulifanyia kazi.

Lakini pia Watanzania hasa wa pembezoni wameshuhudia uwekezaji mkubwa wa huduma za jamii licha ya ugumu wa utekelezaji wa mambo haya ambapo ulinganifu na mtangulizi wa Samia ni jambo lililo kwenye mjadala (parallel trend analysis). MAANDAMO HAYAPO NA HAYANA NAFASI KWA SASA.
 
Kuna scenario moja tu, nayo ni kwamba maandamano hayatafanyika na kura tutapiga kwa amani japo turn out itakuwa ndogo.

Hili limekwisha, tuangalie tunavuka vipi 2030.
Nadhani kuna x factor moja tu inaweza kufanya kauli hii isiwe kweli: Gen Z wajitoe ufahamu. Sisi Gen X na boomers yalishatushinda.
 
Mzee Mwanakijiji soma kwa kurudia post hii. Ukiwa nje ya nchi, utaamini kuna maandamano ila ukiwa Tanzania, huu ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli japo ni mchungu kwenu.

Watanzania wenye akili na wanaojitmbua hawawezi kushiriki maandamo ambayo hawajui viongozi wake wala mustakabali wa baada yake. Tatizo wenye maandamano yao wamejificha wakawadhihirisha wendawazimu akina Mange et.ambao kimsingi profiles zao kwa watanzania ni very questionable.

Vilevile, kitendo cha maandamano kuwekwa tarehe 29 ambayo ni siku ya uchaguzi imeleta maswali mengi kwa watanzania wanaoamini katika kuvumiliana. Wanaona kama kuna nia ovu dhidi ya Taifa. Madai makuu ya maandamano ni matokeo ya kuandikwa kwa KATIBA MPYA ambapo, CCM ikiwa ni chama kinachopewa nafasi kubwa kushinda imejumuisha suala hilo katika Ilani yake. Kwanini itumike njia ya vurugu kupata jambo ambalo wahusika wamelikubali kulifanyia kazi.

Lakini pia Watanzania hasa wa pembezoni wameshuhudia uwekezaji mkubwa wa huduma za jamii licha ya ugumu wa utekelezaji wa mambo haya ambapo ulinganifu na mtangulizi wa Samia ni jambo lililo kwenye mjadala (parallel trend analysis). MAANDAMO HAYAPO NA HAYANA NAFASI KWA SASA.
Umesema kumeshuhudiwa maendeleo makubwa yaliyotekelezwa kutokana na ilani.

Je hawa walichofanyiwa pia kilikua kwenye ilani ya CCM ????

Ufisadi pia wa kwenye mgodi wa makaa ya mawe hadi jukwaa hili likapigwa pingu nayo ilikua kwenye ilani ya CCM?

Unaua watu halafu unasema umejenga madaraja hayo madaraja wapite punda?
20251005_134437.jpg
 
Mzee Mwanakijiji soma kwa kurudia post hii. Ukiwa nje ya nchi, utaamini kuna maandamano ila ukiwa Tanzania, huu ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli japo ni mchungu kwenu.

Watanzania wenye akili na wanaojitmbua hawawezi kushiriki maandamo ambayo hawajui viongozi wake wala mustakabali wa baada yake. Tatizo wenye maandamano yao wamejificha wakawadhihirisha wendawazimu akina Mange et.ambao kimsingi profiles zao kwa watanzania ni very questionable.

Vilevile, kitendo cha maandamano kuwekwa tarehe 29 ambayo ni siku ya uchaguzi imeleta maswali mengi kwa watanzania wanaoamini katika kuvumiliana. Wanaona kama kuna nia ovu dhidi ya Taifa. Madai makuu ya maandamano ni matokeo ya kuandikwa kwa KATIBA MPYA ambapo, CCM ikiwa ni chama kinachopewa nafasi kubwa kushinda imejumuisha suala hilo katika Ilani yake. Kwanini itumike njia ya vurugu kupata jambo ambalo wahusika wamelikubali kulifanyia kazi.

Lakini pia Watanzania hasa wa pembezoni wameshuhudia uwekezaji mkubwa wa huduma za jamii licha ya ugumu wa utekelezaji wa mambo haya ambapo ulinganifu na mtangulizi wa Samia ni jambo lililo kwenye mjadala (parallel trend analysis). MAANDAMO HAYAPO NA HAYANA NAFASI KWA SASA.
Tutolee uhayawani wako. Hatuandamani kwa ajili ya Mange. Tunaotekwa ni sisi na sio Mange, tuotozwa mitozo ya ******* sio Mange ni sisi, Wakina Abdul na mawaziri hawamwibii Mange ila ni sisi watanzania, mbuga na bandari zinazouzwa sio za Mange bali ni za Watanzania. Kwa hiyo tutolee ujuha wako, tunajitambua na tunajua tunachopigania
 
Kama Mtanzania huwezi kuandamana basi ni kheri usipige kura.

Kupiga kura ni kubariki waliotekwa wamalizwe huko walipo. Kupiga kura ni kubariki mwanao atekwe.

Sio lazima uingie barabarani angalau tulia nyumbani ila usiwe sehemu ya kuhalalisha USHETANI.
Kimsingi hiyo level ya kuhitaji kura hawa jamaa walishaivuka kitambo sana ,yaani itokee hata wapate kura 100 tu Tanzania nzima kwao inatosha sana kujitangazia ushindi tena wakishindo .

Muhimu sote tukubali kutoka na kupambana nao kwa namna itakavyokuwa huyu Mama atembee zake .

Mafwele na wenzake tukabiliane nao usokwa uso na ikiwezekana tumalizane nao .

Mkuu wa majeshi nitakataka tu

Mkuu wa usalama ni kundi moja na wabagazaji wa Taifa hili .

Muhimu tukubali kujiamgamiza kwa maslahi mapana ya Taifa letu,hiyo ndiyo njia pekee ya muafaka .

Haki haiombwi ,inapiganiwa .

Lakini tukijichanganya tukaogopa kutoka aisee tujue tumeisha mazima.
 
Madai makuu ya maandamano ni matokeo ya kuandikwa kwa KATIBA MPYA ambapo, CCM ikiwa ni chama kinachopewa nafasi kubwa kushinda imejumuisha suala hilo katika Ilani yake.
Ndiyo maana Nawaza malengo mahususi yamevurugwa makusudi na yawezekana ndiyo maana Jana Ndugu Josephat (MwanaCCM) alijaribu kuweka sawa malengo huku akikwepa kujinasibisha na hicho cha 29.10. kasema utekaji, uminywaji wa haki, Na ufisadi uliokithiri pia ametoa mifano ya masuala haya matatu ambayo wananchi wengine hawakubaliani nayo.

Kwa uchache haya masuala ndiyo ya kuwa kipaumbele katika kuweka mariadhiano yanayohubiriwa kufanyika baada ya uchaguzi!

Kwa ufupi malengo hayapo clear!!!

Ni Kweli katiba mpya ipo kwenye ilani ya CCM
====
Naomba orodha ya mikutano ya kampeni ya Chama ambapo jambo hili limezungumzwa kwa uwazi na kwa namna litakavyotekelezwa.
 
Kimsingi hiyo level ya kuhitaji kura hawa jamaa walishaivuka kitambo sana ,yaani itokee hata wapate kura 100 tu Tanzania nzima kwao inatosha sana kujitangazia ushindi tena wakishindo .

Muhimu sote tukubali kutoka na kupambana nao kwa namna itakavyokuwa huyu Mama atembee zake .

Mafwele na wenzake tukabiliane nao usokwa uso na ikiwezekana tumalizane nao .

Mkuu wa majeshi nitakataka tu

Mkuu wa usalama ni kundi moja na wabagazaji wa Taifa hili .

Muhimu tukubali kujiamgamiza kwa maslahi mapana ya Taifa letu,hiyo ndiyo njia pekee ya muafaka .

Haki haiombwi ,inapiganiwa .

Lakini tukijichanganya tukaogopa kutoka aisee tujue tumeisha mazima.
Hebu weka mikakati sasa, wewe utaanzia wapi tukufuate nyuma?
 
Wale wote waliohamasisha maandamano au kuita jeshi lichukue nchi...
Maandiko yako yameshapitwa ma wakati. Staafu tu.

Maandamano hayatakuwepo, kwasababu wabongo wengi wana akili kama zako.

KUSIKILIZIA mtu fulani afanye, wao wanajiona hawahusiki.

Kila mtu atakaa kwake KUSIKILIZIA kama wewe, kwahiyo maandamnao hayatakuwepo.

Kuelekea 2030 kutakuwa na UTEKAJI JUU YA UTEKAJI, kila mmoja ataokotwa kwa wakati wake.

A nation with NYUMBU DNA.
 
Back
Top Bottom