Uchaguzi 2020 Angalizo: Kumdhibiti Godbless kunahitaji " timing" vinginevyo watatumbuliwa watendaji wote wa Arusha!

Lema ni hajafanya chochote arusha, wanaomshabikia ni wahuni tu, hamna cha maana alichofanya arusha zaidi ya kujiimarisha mwenyewe kiuchumi, kazi kutwa kushinda kwenye mitandao na maneno maneno tu mitandaoni na kushinda mahakamani
Umepotea ndugu LEMA ni jembe miongoni mwa wanasiasa vijana hodari huo ni wivu tu
 
Aliyempeleka mahakanani (kumshitaki) Lema ni nani?

Ukimjuwa,

Mlaumu Huyo kwa Lema kushindwa kufikia malengo ya kuitumikia Arusha.
na kwanini anafanya mambo ambayo yanampelekea kufikishwa mahakamani, je tulimchagua ili afanye upuuzi ambao unapelekea yeye kufikishwa kila mara kwenye vyombo vya dola au tulimchagua awakilishe wananchi wa arusha
 
sema wewe ndio upo na lema, utajjkuta peke yako. arusha inarudi mikononi mwa ccm..ila sio mbaya kujipa moyo
 
mara mojamoja unaeleweka ukiweka ukijani pembeni
 
sema wewe ndio upo na lema, utajjkuta peke yako. arusha inarudi mikononi mwa ccm..ila sio mbaya kujipa moyo
Hizo taarabu zenu zisha kuwa zilipendwa maana zilianza kipindi kirefu.

Nikutaarifu tu kuwa ccm Arusha ilisha futika toka mioyoni mwa wana R-chuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…