Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Hizi ni dalili za udikteta, anajiharibia CV yake mwenyewe ya mbeleni hukoJafo kajidhalilisha mwenyewe,meneja hana kosa hata kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni dalili za udikteta, anajiharibia CV yake mwenyewe ya mbeleni hukoJafo kajidhalilisha mwenyewe,meneja hana kosa hata kidogo.
Hata Jafo analijua hilo hata Yesu wetu wa chama analijua hilo ila changamoto iliyopo utawala huu bila kiki,kuabudu na kusifia kila wakati( as much as you can) hatima yako na mstakabali wako kisiasa unakuwa njia panda. Wewe unazani msomi Kabudi na msomi Bashiru wakiulizwa juu ya hatua aliyoichukua Jafo watasema kakosea? Nenda kamshauri chakubanga Sasa amrudishe huyo manager wa Tarula Arusha huku tukio la kumrudisha likiwa na live coverage! TUACHE KUABUDU NA KUSIFIA MPAKA TUNAHARIBUSi kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika.
Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa.
Watu kuja kushuhudia ufunguzi wa miradi inabidi wahamasishwe na wanasiasa wa CCM siyo watendaji au wataalamu.
Ni angalizo tu.
Maendeleo hayana vyama!
.....hahahaha MKUUJaffo kamuonea sana huyo meneja, kwani nyie na CCM yenu mlishindwa nini kuwaita wale manamba wenu wasio na kazi na nguo zao za kijani wakakate viuno hapo barabarani?
Hata Jaf
Hata Jafo analijua hilo hata Yesu wetu wa chama analijua hilo ila changamoto iliyopo utawala huu bila kiki,kuabudu na kusifia kila wakati( as much as you can) hatima yako na mstakabali wako kisiasa unakuwa njia panda. Wewe unazani msomi Kabudi na msomi Bashiru wakiulizwa juu ya hatua aliyoichukua Jafo watasema kakosea? Nenda kamshauri chakubanga Sasa amrudishe huyo manager wa Tarula Arusha huku tukio la kumrudisha likiwa na live coverage! TUACHE KUABUDU NA KUSIFIA MPAKA TUNAHARIBU
Wana wa arusha wanataka kiongozi bora na sio bora kiongozi anayejali tumbo lake na biashara zake..muda mrefu wananchi wameteseka na sasa imetosha
....Mkuu hii habari sijaipata tupo maporini humu jamviniJafo nilikuwa namgeshimu, Ila kafanya Jambo la aibu. Ni fedheha kwake na familia yake.
Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika.
Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa.
Watu kuja kushuhudia ufunguzi wa miradi inabidi wahamasishwe na wanasiasa wa CCM siyo watendaji au wataalamu.
Ni angalizo tu.
Maendeleo hayana vyama!
Kalete wapiga vigeregere kwa maendeleo ya madaraja ya ku edit.Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika.
Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa.
Watu kuja kushuhudia ufunguzi wa miradi inabidi wahamasishwe na wanasiasa wa CCM siyo watendaji au wataalamu.
Ni angalizo tu.
Maendeleo hayana vyama!
Mliofanya chochote mbona mnaleta wapiga vigeregereLema ni hajafanya chochote arusha, wanaomshabikia ni wahuni tu, hamna cha maana alichofanya arusha zaidi ya kujiimarisha mwenyewe kiuchumi, kazi kutwa kushinda kwenye mitandao na maneno maneno tu mitandaoni na kushinda mahakamani
Jamaa kamfuta kazi manager wa tarura Arusha. Sababu wananchi hawakuja kushangilia ufunguzi wa barabara. Kwa mawazo yake alitaka wakusanywe waje washangilie ufunguzi na wa kuwakusanya Ni manager wa tarura. Anaambiwa anahujumu utendaji wa awamu ya 5, maana haitainekana Kama imefanya kazi....Mkuu hii habari sijaipata tupo maporini humu jamvini
Je niulize kuna mkutano aliofanya Lema bila kufatiliwa na Mapolisi??Lema ni hajafanya chochote arusha, wanaomshabikia ni wahuni tu, hamna cha maana alichofanya arusha zaidi ya kujiimarisha mwenyewe kiuchumi, kazi kutwa kushinda kwenye mitandao na maneno maneno tu mitandaoni na kushinda mahakamani
Fedha ya wafadhili, ada ya watoto 400(kama kweli), ndani ya miaka kumi ndio unasema amefanya kazi sana kuleta maendeleo ya wana arusha..?? hayo unayaita maendeleo?Je niulize kuna mkutano aliofanya Lema bila kufatiliwa na Mapolisi??
Alipozindua ujenzi wa Hspl kwa fedha za wafadhili si mliona alivyo andamwa na Gambo mwisho wakajidai ni mradi wao.
Wana Arusha wanajua Lema anagharamia masomo zaidi ya watoto 400 wasiojiweza.
Lema alibanwa kila kona, uzuri wake wana Arusha sio mazezeta wanajua wanataka nini!!
Maendeleo bila uhuru huo ni utumwa!!
Wangetaka watu wangemwomba Mh.Lema awaalike kwenye ufunguzi wa hiyo barabara,wangepata watu wa kutosha.Je niulize kuna mkutano aliofanya Lema bila kufatiliwa na Mapolisi??
Alipozindua ujenzi wa Hspl kwa fedha za wafadhili si mliona alivyo andamwa na Gambo mwisho wakajidai ni mradi wao.
Wana Arusha wanajua Lema anagharamia masomo zaidi ya watoto 400 wasiojiweza.
Lema alibanwa kila kona, uzuri wake wana Arusha sio mazezeta wanajua wanataka nini!!
Maendeleo bila uhuru huo ni utumwa!!
Kwasasa nadhani jikite sana kwenye viongozi wa ccm wanaotoa rushwa.
Lema mtu watu achana nae
Mwana CCM wa kwanza kuongea point kwenye hii issue. Mfundishe na mwenzako Yehodaya awe na akili kidogo.
Hivi CCM kuna kiongozi aliyepatikana bila rushwa? Maana ingekua kweli hawapendi rushwa tungesikia watu wamefungwa jela miaka kadhaa,lakini kila wakati wa uchaguzi rushwa ni kwa kwenda mbele.
Mkuu mimi niwaza sawa na wewe aliefukuzwa ni mhandisi sio mwanasiasa
Jaffo kamuonea sana huyo meneja, kwani nyie na CCM yenu mlishindwa nini kuwaita wale manamba wenu wasio na kazi na nguo zao za kijani wakakate viuno hapo barabarani?