Uchaguzi 2020 Angalizo: Kumdhibiti Godbless kunahitaji " timing" vinginevyo watatumbuliwa watendaji wote wa Arusha!

Arusha hakuna CCM kuna wezi wa kura tu.
Mtafukuzana sana na bado. CCM ya Magufuli imekataliwa Tanganyika na Zanzibar.
Mhe, Lema atabaki kuwa juu miaka 2000✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
 
Unaota wewe!
 
Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika.

Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa.

Watu kuja kushuhudia ufunguzi wa miradi inabidi wahamasishwe na wanasiasa wa CCM siyo watendaji au wataalamu.

Ni angalizo tu.

Maendeleo hayana vyama!

Arusha ni ya Lema hata mkimuweka "Dogo Jinga" mliyemununua anapigwa za "USO" saa mbili asubuhi.
 
Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika.

Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa.

Watu kuja kushuhudia ufunguzi wa miradi inabidi wahamasishwe na wanasiasa wa CCM siyo watendaji au wataalamu.

Ni angalizo tu.

Maendeleo hayana vyama!
Umewashtua ndugu zako watapukutika wote wasipokuwa makini.mkuu kawatuma kawatumvua tena. Kapeleka wengine nao wameshindwa tena. Bado hawajang'amua tu.
 
Kwa yale aliyofanya Jaffo Arusha ana tofauti gani na Uchebe wa Shilole?!
 
Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika.

Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa.

Watu kuja kushuhudia ufunguzi wa miradi inabidi wahamasishwe na wanasiasa wa CCM siyo watendaji au wataalamu.

Ni angalizo tu.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu siku hizi umeacha ushabiki una andika point sna, safi kwenye ukwali tuseme ukwali
 
Lema hakusanyi kodi ficha upumbavu wako.
Wana wa arusha wanataka kiongozi bora na sio bora kiongozi anayejali tumbo lake na biashara zake..muda mrefu wananchi wameteseka na sasa imetosha
 
Ilitakuwa wasombww manyumbu kutoka kanda ya ziwa, ndiyo wangekuwa washangiliaji.
 
Wewe buku 7 unaiona ndogo?

Dr Mashinji alichangiwa na wanaccm ili asifungwe jela kama ambavyo mchango wa wanafamilia wa mchungaji Msigwa walioko CCM mchango wao ulitumika kumtoa Mbowe jela tena akiwa shambani analima!

Siasa siyo uadui!

Mzee mgaya kamla kichwa Mbarawa wako sasa tutaona kama utapewa kazi uliyohadiwa katika ikulu ya Zanzibar.
 
kwahio barabara moja ndani ya miaka kumi..?

Jimbo laArusha lina barabara za lami za kutosha toka awamu iliyopita. Na sio barabara tu, miundombinu mbinu mingine karibia yote iko sawa. Kwa taarifa yako Arusha imeshatoka kwenye siasa za kichovu za kushangilia barabara. Wasukuma ndio wana muda wa kushangilia barabara, maana ni vitu vigeni kwao.
 
Back
Top Bottom