Uchaguzi 2020 Angalizo: Kumdhibiti Godbless kunahitaji " timing" vinginevyo watatumbuliwa watendaji wote wa Arusha!

Uchaguzi 2020 Angalizo: Kumdhibiti Godbless kunahitaji " timing" vinginevyo watatumbuliwa watendaji wote wa Arusha!

Amezidi kuota MAPEMBE
Alianza kupiga mkwara pale wilayani Mwanga lakini Apson na Lubuva wakamkazia macho.

Pale Mwanga DED Lubuva aliwapakazia Tarura kwamba hawampi ushirikiano sasa Waziri kamalizia hasira Arusha kwa mtu asiyestahili.

Nina imani Rais Magufuli ataliangalia hili!
 
Wakati cdm wapo atua moja ccm washafika hatua kumi nambil mbili mbele.
 
Alianza kupiga mkwara pale wilayani Mwanga lakini Apson na Lubuva wakamkazia macho.

Pale Mwanga DED Lubuva aliwapakazia Tarura kwamba hawampi ushirikiano sasa Waziri kamalizia hasira Arusha kwa mtu asiyestahili.

Nina imani Rais Magufuli ataliangalia hili!
Siasa za kijinga kabisa
 
Kiukweli Arusha hawashtuki kabisa na hayo mambo. Lema angewaita wangemwagika kama siafu na nyuki. Kuita wananchi ni kazi ya Mkurugenzi wa hilo jiji anashirikisha wataalam wake wa kata ambao hufikia wananchi huko kijijini na mitaa. Aisee udhalilishaji huu.

Watendaji wa kata ndio wanatakiwa kuitisha watu wakasujudie barabara, lakini wameingia madarakani bila ridhaa ya watu, hivyo hawawezi kuitisha watu.
 
Mataga bila buku 7 hawezi kuvaa shati la chama na kwenda kushangilia barabara tena kwenye mkoa ambao wamezaliwa wamezikuta hizo barabara.

Mataga kutokuwepo kwenu kwenye kushangilia hii barabara mmesababisha hasira zote ameshushiwa meneja wa mradi ambaye sio mwanasiasa.
Wewe buku 7 unaiona ndogo?

Dr Mashinji alichangiwa na wanaccm ili asifungwe jela kama ambavyo mchango wa wanafamilia wa mchungaji Msigwa walioko CCM mchango wao ulitumika kumtoa Mbowe jela tena akiwa shambani analima!

Siasa siyo uadui!
 
Ndiyo muelezeni Jafo upinzani sio uadui maana anamgombeza meneja wa mradi anamuambia eti yeye ni mpinzani.

Yani meneja wa mradi asiyeleta mataga kushangilia barabara anasingiziwa ni mpinzani na kutimuliwa.
 
Kosa la meneja hakutenga fungu la kuhamasisha wananchi, wenye kitengo chao ndani ya Chama wamemchoma,

maana ziara kama hizo ni maisha ndani ya Chama kwa baadhi ya watu.
 
Alianza kupiga mkwara pale wilayani Mwanga lakini Apson na Lubuva wakamkazia macho.

Pale Mwanga DED Lubuva aliwapakazia Tarura kwamba hawampi ushirikiano sasa Waziri kamalizia hasira Arusha kwa mtu asiyestahili.

Nina imani Rais Magufuli ataliangalia hili!
Jaffo kwakweli amemuonea sana huyu mhandisi. Eti: huu mradi si ni wa kwako? Eeh funga virago uondoke!! Hapana, Jaffo kaharbu kila kitu.

Arusha / Chadema itamaliza watendaji na viongozi kama approach ya kumtoa Lema ndiyo hii. Jaffo Jaffo Jaffo, nimekuita Mara tatu, chunga sana, umeanza kujisahau, utarudi ulikotoka.

Eti peleka Buhigwe au wapi huko hapa sitaki kumuona!!! Jaffo, hata wewe mzee wa nyungu!!?? Muda utaongea, labda ubadirike. Ni hayo tu.
 
Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika.

Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa.

Watu kuja kushuhudia ufunguzi wa miradi inabidi wahamasishwe na wanasiasa wa CCM siyo watendaji au wataalamu.

Ni angalizo tu.

Maendeleo hayana vyama!
Engineer hakuwa aware na ule Usanii wa CCM kusomba watu na Ma Fuso
 
lema ni mpuuz tu hajafanya chochote arusha, wanaomshabikia ni wahuni tu, hamna cha maana alichofanya arusha zaidi ya kujiimarisha mwenyewe kiuchumi, kazi kutwa kushinda kwenye mitandao na maneno maneno tu mitandaoni na kushinda mahakamani

Lema hakusanyi kodi ficha upumbavu wako.
 
Back
Top Bottom