ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

Mimi na washkaji wote ninaowajua tumecertify kwa wakili au mahakama na interview tunaitwa
Mambo vipi brother, naomba kufahamu nivyeti Gani vinavyostahiki kucertify apo kwenye ajira portal tu, na Mahakamani ni kiasi gani mie Niko dsm
 
kuhusu ushahidi wa kupigwa chini coz sikucertify birth certificate rita kwa kweli sina, ila nilipopigwa chini kwa sababu sikucertify kwa advocate imenifanya niwaze hivyo coz hakuna popote kwenye terms zao wamesema lazima mtu acertify vyeti na bado walinipiga chini kwa kigezo hicho. ni taadhari tu mkuu hawa jamaa hawaishiwi kukutafutia kigezo cha kukubutua
Mkuu, wewe hukua ume-certify vyeti vyako kwa Advocate, ni sahihi hawakukubalia.

Badala yake ulikua ume-certify Mahakamani na wakakukatalia? Au hukuwa ume-certify kabisa?
 
Mambo vipi brother,naomba kufahamu nivyeti Gani vinavyostahiki kucertify apo kwenye ajira portal tu, na Mahakamani ni kiasi gani mie Niko dsm
Vyeti vya kucertify ni vyote utakavyoattach. Vya elimu, cha ujuzi, cha kuzaliwa.

Kwa kawaida ukienda mahakama yoyote ukimkuta karani ukimpa 10K anakufanyia hiyo kazi. Kwa wakili atakuambia cheti kimoja 10K ila itategemea unamchekechaje
 
Mimi pia nime-certify vyeti vyote Mahakamani tena Primary Court na kila nikiomba kazi kupitia PSRS naitwa interview ila kazi tu ndio bado. I hope this time I am going to make it.
Naomba kuuliza na je kuweka cheti cha computer napo kuna ulazima sana ama
 
naomba kuuliza na je kuweka cheti cha computer napo kuna ulazima sana ama
Huo ni ujuzi, attach hiko cheti. Ila kwenye sehemu ya other attachments kwasasa kuna options 3 tu.
1. Curriculum Vitae (CV)
2. Birth Certificate
3. Recommendation Letter
Ingawa mimi toka ni-create account yangu hio na niliweza jaza options zaidi ya 5 pale. Ila now days wameweka limit, only 3.
 
Kuna baadhi umeandika sio sahihi.

Ku-sign barua ni muhimu na lazima lakini sio lazima iwe kwa mkono, mimi niliwahi Ku-sign kupitia app kwenye simu na nikaitwa kwenye interview yani kila kitu nilifanya kupitia simu na niliitwa Interview.

Cheti cha kuzaliwa kinapigwa mhuri na mwanasheria na sio RITA.
 
naomba kuuliza na je kuweka cheti cha computer napo kuna ulazima sana ama
Huo ni ujuzi, attach hiko cheti. Ila kwenye sehemu ya other attachments kwasasa kuna options 3 tu.
1. Curriculum Vitae (CV)
2. Birth Certificate
3. Recommendation Letter
Ingawa mimi toka ni-create account yangu hio na niliweza jaza options zaidi ya 5 pale. Ila now days wameweka limit, only 3.
Cheti cha computer kinawekwa kwenye kipengele cha professional, kama unaona kuna ulazima wa kuweka hicho cheti bc kiweke.
 
kuhusu ushahidi wa kupigwa chini coz sikucertify birth certificate rita kwa kweli sina, ila nilipopigwa chini kwa sababu sikucertify kwa advocate imenifanya niwaze hivyo coz hakuna popote kwenye terms zao wamesema lazima mtu acertify vyeti na bado walinipiga chini kwa kigezo hicho. ni taadhari tu mkuu hawa jamaa hawaishiwi kukutafutia kigezo cha kukubutua
Yaah hapa nimekusoma mkuu, but ulisemalo ni ukweli mtupu, jamaa wako very strict for petty issues now. But kikubwa Sasa ni kuwa makini tu.

Bila kusahau issue ya picha(passport size) wanamaindi kama muhusika hajaweka So waombaji wa Ajira lazima wanote hii kwa Sasa is very important.
 
Huo ni ujuzi, attach hiko cheti. Ila kwenye sehemu ya other attachments kwasasa kuna options 3 tu.
1. Curriculum Vitae (CV)
2. Birth Certificate
3. Recommendation Letter
Ingawa mimi toka ni-create account yangu hio na niliweza jaza options zaidi ya 5 pale. Ila now days wameweka limit, only 3
Recommendations letter inahusu nini mkuu?
 
Rexc

Recommendations letter inahusu nn mkuu..?
Ni kama mtu fulani kuthibitisha uwezo wako iwapo utaajiriwa, lkn hy barua wanaandika watu wazito mf: rais, professor, mkurugenzi wa shirika/kampuni fulani.

Sio unamwambia lecturer wako akuandikie 😁 kwa ufupi n kama una mtu wa kukuandikia hy barua bc haina haja ya ww kuomba hy kazi mana huyo mtu ni connection tosha.
 
vya kuzaliwa ni rita mkuu, inafanyika online kwenye web ya rita
Wewe nae unaleta process za kuomba mikopo HESLB ndio wanaraka hivyo ajira portal certify kama unavyo-certify vyeti tu
 
Back
Top Bottom