ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

Vyakuzaliwa kumbe advocate aki certify haikubaliki!!!! Mbona huwa hawasemi direct, au ni mbinu tuu ya kuengua watu
nani kakudanganya usipocertify cha kuzaliwa hauitwi au unataka tukupe majibu kwa kuwa haujacertify, cha kuzaliwa ni lazima kucertify,

angalizo certify document yoyote unavyoattach ajira portal usiache hata cha kajumulo computer training center
 
Ni kama mtu fulani kuthibitisha uwezo wako iwapo utaajiriwa, lkn hy barua wanaandika watu wazito mf: rais, professor, mkurugenzi wa shirika/kampuni fulani.
Sio unamwambia lecturer wako akuandikie [emoji16] kwa ufupi n kama una mtu wa kukuandikia hy barua bc haina haja ya ww kuomba hy kazi mana huyo mtu ni connection tosha.
Mkuu.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji/Mji/Wilaya hawezi akakuandikia Reccomendation Letter na ikasaidia?

Let say ulikua ukijitolea katika nafasi flani katika moja ya Idara Ofisini kwake na endapo ajira ambayo una fit ikatangazwa, anaweza kuwa msaada ukapata hio kazi baada ya kuwa ume-submit hio barua pamoja na Application letter.
 
Tanzania ku apply ajira tu ambayo hata million kwa mwezi haikuiingizii ni kama mchakato wa kwenda mbinguni.

Mimi sihitaji ku certify cheti chochote nawatumia wao system yao ita scan bar code itathibitisha ni cheti original na mwenye nacho ni mimi.

Ila huku mpaka uhudhurie ofisi kama hamsini hivi kuanzia kwa balozi mpaka kituo cha polisi na mahakamani ukatoe rushwa kwanza ndio maombi yakubaliwe na kazi hupati tayari kuna ndugu zao watawapa.
 
Mkuu.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji/Mji/Wilaya hawezi akakuandikia Reccomendation Letter na ikasaidia? Let say ulikua ukijitolea katika nafasi flani katika moja ya Idara Ofisini kwake na endapo ajira ambayo una fit ikatangazwa, anaweza kuwa msaada ukapata hio kazi baada ya kuwa ume-submit hio barua pamoja na Application letter.
Anaweza kukuandikia hiyo barua lakini sio kigezo cha kupata kazi. Hy ni kwa ajili ya ku-bost CV yako.
Ndio maana nikasema kama una mtu wa kukuandikia hiyo barua basi haina haja ya kuomba kazi mana yeye mwenyewe ni connection tosha anaweza kukushika mkono.
 
Anaweza kukuandikia hy barua lkn sio kigezo cha kupata kazi. Hy ni kwa ajili ya ku-bost CV yako.
Ndio maana nikasema kama una mtu wa kukuandikia hy barua bc haina haja ya kuomba kazi mana yeye mwenyewe ni connection tosha anaweza kukushika mkono.
Okay.

Lakini pia hata kama ulowataja awali ni connection tosha lakini bado kutafanyika mchakato kwa kufuata taratibu zilizopo. I mean, nafasi ya kazi itatangazwa, waombaji wataenda compete then ile power ya connection ndipo inapoweza kuwa applied.

Sidhani kama akiku-reccomend basi wewe utapita shortcut, yaani hutahusika na kuomba kazi, kuwa shortlisted na ku-attend interview. Kuwa reccomended maana ake unapendekezwa. Laiti kama ingelikua Prof akiku-reccomend na huna haja ya kufanya Application basi ni wengi sana tungekua makazini bila kufuata utaratibu.

By the way, now days it's all about whom you know, not what you know.
 
Okay.
Lakini pia hata kama ulowataja awali ni connection tosha lakini bado kutafanyika mchakato kwa kufuata taratibu zilizopo. I mean, nafasi ya kazi itatangazwa, waombaji wataenda compete then ile power ya connection ndipo inapoweza kuwa applied. Sidhani kama akiku-reccomend basi wewe utapita shortcut, yaani hutahusika na kuomba kazi, kuwa shortlisted na ku-attend interview. Kuwa reccomended maana ake unapendekezwa. Laiti kama ingelikua Prof akiku-reccomend na huna haja ya kufanya Application basi ni wengi sana tungekua makazini bila kufuata utaratibu.
By the way, now days it's all about whom you know, not what you know.
Ndio maana nikasema hy barua wanaandika watu wazito tuu na nikamtolea mfano mtu kama rais anaweza kukuandikia barua. Kwa ufupi ni lazima awe mtu mzito lkn haina maana kuwa kwakuwa ni profesa bc upate kazi kwa shortcut, kuandika profesa haina maana kwamba yeye ni mtu mzito.

Bila shaka nikisema mtu mzito unaelewa ni vyeo gn, kumbuka rais anaweza kukupa kazi bila ya ww kupitia huko utumishi.
 
Yaaaah hapa nimekusoma mkuu, but ulisemalo ni ukweli mtupu, jamaa wako very strict for petty issues now. But kikubwa Sasa ni kuwa makini tu..
Bila kusahau issue ya picha(passport size) wanamaindi kama muhusika hajaweka So waombaji wa Ajira lazima wanote hii kwa Sasa is very important
Picha ya passport inawekwa kwenye kipengele gani?
 
Mimi nina shida. Nikienda kwenye apply, inaniambia attach file(barua ya maombi), lakini nikibonyeza (Choose file), ili iende kwenye file, system hai respond kunipeleka kwenye file, network ipo vizuri, naomba ushauri nifanyeje? Nimekwama hapo.
 
Mimi nina shida. Nikienda kwenye apply, inaniambia attach file(barua ya maombi), lakini nikibonyeza (Choose file), ili iende kwenye file, system hai respond kunipeleka kwenye file, network ipo vizuri, naomba ushauri nifanyeje? Nimekwama hapo.
Mm nimetoka kuattach sio muda,si kwny kile kiboksi ukibonyeza unapelekwa kwny files zko?
 
Lazima u certify. Walinila kichwa ilihali nime scann original. Application ya kwanza niliitwa bila ku certify. Ya pili wakasema academic certificates not certified by an advicate
Hatari sana,, Sasa inabidi vijana wawe makini na issue ya kuthibitisha vyeti ni muhimu sana kwa sasa
 
Mama kaachia asali, mpaka July wengi mtakuwa mnasheherekea.

Nimekuwekea baadhi ya vidokezo vichache vinavyoweza kukunyima nafasi ya kuchaguliwa kwa ajili ya usaili (SHORTLISTED) kwa wanaopotia ajira portal.
  1. Kutosaini barua yako ya maombi, najua kabla ya kupakia barua yako ya maombi mfumo unakuambia hakikisha imesainiwa. Hii kuna wale wanaosaini pdf kwa kuinsert signature au online signature. Ukifanya hivi imekula kwako, print isaini kwa mwandiko wako na iscan tena.
  2. Scanning isiyo na viwango, wale wazee wa kumalizia kila kitu kwenye smartphone. Karatasi imejikunja na chafu Halafu unascan kwa simu yako inaacha water mark za "scanned by cam scanner". hauko serious mjuba.
  3. Vyeti vyako havijahakikiwa na advocate, na cha kuzaliwa hakijahakikiwa na rita. Hii najua kwenye maelekezo yao hawajasema ila nlikosa usaili kisa hiyo sababu. Nimeamabatanisha na screenshot ya ushahidi ili tomaso uamimi.
Wanaoomba ni wengi, kutakuwepo na vigezo vya ajabu vya kukutoa nje ya reli. Ni heri mkakutane Dodoma kwenye mnyukano ukose kuliko kuishia njiani.

Kama una vidokezo vingine ongezea hapa wadau waju

Screenshot_20220602-091845.png
 
Back
Top Bottom