ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

Ni Kweli. Ila hapa watacomplicate tu kuhusu taasisi kwa maana mfumo nao umegawa vipengele kulingana na posts za kazi na wamespecify muajiri husika.. hvyo muombaji anakwenda direct to post anayoihitaji tena inakuwa imeandikwa na idadi ya post. But kwa kuwa hawataki longolongo vijana ni vyema kuzingatia hili
 
Kuna baadhi umeandika sio sahihi.
Ku-sign barua ni muhimu na lazima lakini sio lazima iwe kwa mkono, mimi niliwahi Ku-sign kupitia app kwenye simu na nikaitwa kwenye interview yani kila kitu nilifanya kupitia simu na niliitwa Interview.
Cheti cha kuzaliwa kinapigwa mhuri na mwanasheria na sio Rita.
Mkuu kwahiyo nikiweka Cha kuzaliwa kiilichopigwa muhuri na RITA watazingua?
 
Mimi nina shida. Nikienda kwenye apply, inaniambia attach file(barua ya maombi), lakini nikibonyeza (Choose file), ili iende kwenye file, system hai respond kunipeleka kwenye file, network ipo vizuri, naomba ushauri nifanyeje? Nimekwama hapo.
Tumia PC [emoji2],simu inakataaga.
 
Oya wadau vipi CHETI Cha kuzaliwa tukiweka kilichokuwa certified na RITA watazingua ?
 
Kwahiyo una-certify copy za vyeti?

Sasa kuna haja gani kujaza institutions?
 
Mimi pia nime-certify vyeti vyote Mahakamani tena Primary Court na kila nikiomba kazi kupitia PSRS naitwa interview ila kazi tu ndio bado. I hope this time I am going to make it.
Gharama za mahakamani ni bei gani mkuu? Maana huko kwa hao ma advocate ni issue.
 
Ni kama mtu fulani kuthibitisha uwezo wako iwapo utaajiriwa, lkn hy barua wanaandika watu wazito mf: rais, professor, mkurugenzi wa shirika/kampuni fulani.
Sio unamwambia lecturer wako akuandikie [emoji16] kwa ufupi n kama una mtu wa kukuandikia hy barua bc haina haja ya ww kuomba hy kazi mana huyo mtu ni connection tosha.
Mkuu bwana Mbaga tuende taratibu.

Kwani hii recommendation letter haiwezi kuwa ni barua yako ambayo umeiandika ya maombi ambayo inatakiwa ipitishwe na mwajili wako?(kwa wale walio ajiliwa).

Maana ktk kupitisha atagonga mhuri na sahihi ataweka na tarehe ataandika.
Me ndo nimeelewa hivo.

Au ni lazima aandike yeye?
 
Back
Top Bottom