ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

Inawezekanaaa
Kwa procedures zipi mkuu?
Nikifungua hapa penye academic qualifications enheee naanzaje kukitoa mfano cha chuo?maana kudelete inakataa,kuandika upya taarifa ili uploading ya cheti ifanyike upya inagoma pia. Nifanyeje?
 
Aisee mbona kutoa cheti ambacho umekiweka ni haiwezekani?

Nafanyaje?naomba msaada nitoaje ili niweke certified vyeti
Njoo PM
Kwa procedures zipi mkuu?
Nikifungua hapa penye academic qualifications enheee naanzaje kukitoa mfano cha chuo?maana kudelete inakataa,kuandika upya taarifa ili uploading ya cheti ifanyike upya inagoma pia. Nifanyeje?
 
Mimi majina yangu ya NIDA na vyeti vyangu vya taaluma hayaendani yaani majina mawili ya mwanzo yako sawa shida ni jina la tatu haliendani (jina la babu)
Nisaidieni jinsi ya kutatua hii changamoto wajuba .
 
jamani cheti cha kuzaliwa cyo academic certificate kile so wanamansha academic certificates ndo vyakucertify
Jichanganye soma hapa kwenye general condition
Screenshot_20220609-165205.jpg
 
Ok cha kufanya nenda kwenye Sehemu ya academic qualifications Bonyeza Nena EDIT CERTFICATES Add Tena hivyo vyeti vya Elimu husika,kama ni Chuo,Form six au diploma,form four, yaaani chochote kile halafu SAVE na Upya .Baada ya Hapo Kila kitu kitakaa sawa.Utaona vyeti vyako vipyaa ulivyo certify kwenye mfumo.NB unaweza usione kwa haraka mabadiliko.Ila wewe EDIT na uweke Upya hivyo vyeti.Utanambia
boss maliza apa apa na wengne tupate ujuzi mana ata mim na ilo tatzoa hah
 
jamani cheti cha kuzaliwa cyo academic certificate kile so wanamansha academic certificates ndo vyakucertify
Haya chief.

Certify unavyovitaka na usivyovitaka usicertify kisha viupload halafu omba kazi yaweza kua upo sahihi utatupa insight mpya
 
Mimi majina yangu ya NIDA na vyeti vyangu vya taaluma hayaendani yaani majina mawili ya mwanzo yako sawa shida ni jina la tatu haliendani (jina la babu)
Nisaidieni jinsi ya kutatua hii changamoto wajuba .
Tafuta affidavit itakayoonyesha majina hayo yaliyokosewa yanatakiwa kumaanisha jina hili. Kisha hudhuria utumishi ukiwa na hiyo affidavit na hivyo vyeti.

Wakati wa ukaguzi unaonyesha vyeti na affidavit.
 
Ok cha kufanya nenda kwenye Sehemu ya Ku add CERTFICATES Add Tena hivyo vyeti vya Elimu husika,kama ni Chuo,Form six au diploma,form four, yaaani chochote kile add na Upya halafu Save.Baada ya Hapo Kila kitu kitakaa sawa.Utaona vyeti vyako vipyaa ulivyo certify kwenye mfumo.NB unaweza usione kwa haraka mabadiliko.Ila wewe save na Upya hizo Academic Details
wanakuambia already exist mzee
 
Habari jamani Nimejiunga na Ajira portal kwa ajiri ya kuomba Ajira za loan officer kwakua sifa moja wapo Ni uwe na Shahada katika education,na fani zinginezo,Mimi nimesoma Bachelor of with education in chemistry and biology lakini kwenye huo mfumo Naona kozi iliyo andikwa Bachelor of science with education bila kua na hayo masomo Je nikiaaply kwa kutumia hiyo sifa ya Bachelor of science with education na wakati mi nina Bachelor of science with education in chemistry and biology sitakua nimeudanganya mfumo na nikarudishwa siku ya usali mana nasikia Kuna watu huwa wanarudishwa hii imekaaje?
 
Jamani vyeti vya ku certify ni;
Form 4
Form 6
Chuo transcript na cheti cha chuo.

Vipi kuhusu cha kuzaliwa na vingine vya training na workshop? Na computer ?
 
Back
Top Bottom