ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

Ukisoma Vizuri hapa.... ni kwamba hajatajwa Mwanasheria wala Wakili..

katika ishu ya BIRTH CERTIFICATE hata ililiyothibitishwa na RITA ni sahihi.. kwa kuwa wao ndio wasimamizi wa hivi vyeti... itakuwa ajabu eti wakatae cheti kilichothibitishwa na RITA alafu watake kilichothibitishwa na Mwanasheria.. ambae hana hata usithibitisho kuwa hicho cheti ni halali au si halali...

au kuna mtu humu cheti chake kilithibitishwa na RITA alafu Ajira portal wakasema ni BATILI?
Cheti changu cha kuzaliwa kipo certified na RITA...na huwa wananishortlist kama kawaida
 
Ukisoma Vizuri hapa.... ni kwamba hajatajwa Mwanasheria wala Wakili..

katika ishu ya BIRTH CERTIFICATE hata ililiyothibitishwa na RITA ni sahihi.. kwa kuwa wao ndio wasimamizi wa hivi vyeti... itakuwa ajabu eti wakatae cheti kilichothibitishwa na RITA alafu watake kilichothibitishwa na Mwanasheria.. ambae hana hata usithibitisho kuwa hicho cheti ni halali au si halali...

au kuna mtu humu cheti chake kilithibitishwa na RITA alafu Ajira portal wakasema ni BATILI
C
safi... hichi ndio nilichokuwa nakifanyia clarification.. (ingawa wapuuzi wachache wakaja kupinga)
Cheti changu cha kuzaliwa nimecertify kwa mwanasheria na sio Rita
 
Uki scan vyeti original uka upload haifai?
Ni lazima ucertify?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Lazima ucertify
Mimi niliomba bila ku certify nikakosa, na wakanipa sababu kuwa sija certify vyeti,
Nikacertify nika upload zikatangazwa ajira nyingine nikaomba nikawa shortlisted.
Ku certify vyeti ni issue simple sana, kama mtu upo dar, wapo ma advocates kibao shilingi elfu tano tuu wana certify vyeti vyako vyote. Kwa mikoani sijui sana kama hawa watu wanapatikana kirahisi, nadhani wanafanya kwenye mahakama za mwanzo.
 
Mama kaachia asali, mpaka July wengi mtakuwa mnasheherekea.

Nimekuwekea baadhi ya vidokezo vichache vinavyoweza kukunyima nafasi ya kuchaguliwa kwa ajili ya usaili (SHORTLISTED) kwa wanaopotia ajira portal.
  1. Kutosaini barua yako ya maombi, najua kabla ya kupakia barua yako ya maombi mfumo unakuambia hakikisha imesainiwa. Hii kuna wale wanaosaini pdf kwa kuinsert signature au online signature. Ukifanya hivi imekula kwako, print isaini kwa mwandiko wako na iscan tena.
  2. Scanning isiyo na viwango, wale wazee wa kumalizia kila kitu kwenye smartphone. Karatasi imejikunja na chafu Halafu unascan kwa simu yako inaacha water mark za "scanned by cam scanner". hauko serious mjuba.
  3. Vyeti vyako havijahakikiwa na advocate, na cha kuzaliwa hakijahakikiwa na rita. Hii najua kwenye maelekezo yao hawajasema ila nlikosa usaili kisa hiyo sababu. Nimeamabatanisha na screenshot ya ushahidi ili tomaso uamimi.
Wanaoomba ni wengi, kutakuwepo na vigezo vya ajabu vya kukutoa nje ya reli. Ni heri mkakutane Dodoma kwenye mnyukano ukose kuliko kuishia njiani.

Kama una vidokezo vingine ongezea hapa wadau wajue.
Asante kwa taarifa Boss
 
Sijawahi certify vyeti zaidi ya kilo 10.. tena Huwa naenda na vyeti vingi Hadi wenyewe wanadata na vyote wananifanyia kazi.. wakinambia niongeze nawapiga sound na kasauti kaunyonge, basi utamsikia Karani nawewe kaka vyeti vyote hivi bhna hebu basi nikakuombee kwa Hakimu, basi hapo najua kazi imeisha.sema kwa Sasa sidhan kama nitaliwa pesa yangu kwa ajili ya hii issue maana vyote niliscan na nimeviweka kwenye Email
Nime certify mkuu vyeti 5 kwa ten
C
 
Oooooops hatimaye nimemaliza zoezi la kuomba,Ila ilifika 95%.But sijatumiwa feedback Yoyote.Japo wamenambia already applied.
 
Sijawahi certify vyeti zaidi ya kilo 10.. tena Huwa naenda na vyeti vingi Hadi wenyewe wanadata na vyote wananifanyia kazi.. wakinambia niongeze nawapiga sound na kasauti kaunyonge, basi utamsikia Karani nawewe kaka vyeti vyote hivi bhna hebu basi nikakuombee kwa Hakimu, basi hapo najua kazi imeisha.sema kwa Sasa sidhan kama nitaliwa pesa yangu kwa ajili ya hii issue maana vyote niliscan na nimeviweka kwenye Email
C
Vyeti 10,una hadi PhD nini mkuu?
 
Mwenye desa la research ambalo utumishi wanapenda kuchomoa maswali naomba anisidie au maswali ya research ambayo walishawahi ulizaga kwenye written interview ya utumish Natanguliza shukran
1.What is the Critetia of good research?
2.Define Ethnography research,Cross sectional research, Empirical research, Qualitative & Quantitative research.
3.How research can be used to solve the problem?
4.Difference between Research methods and research methodology
5.Research design
Desa nzuri pitia C.R.Kothari
 
Vyeti 10,una hadi PhD nini mkuu?
Birth certificate, form 4, form six, (certificate + Transcript) , (diploma + Transcript) , (degree +transcript)+ (Masters+Transcript) =document 11. Huhitaji PhD kuwa na document 10
 
wakuu cheti cha ERB nilichokiweka ajira portal kimeshaexpire..vipi nisipobadilisha itaniathiri?
 
Birth certificate, form 4, form six, (certificate + Transcript) , (diploma + Transcript) , (degree +transcript)+ (Masters+Transcript) =document 11. Huhitaji PhD kuwa na document 10
Duh..sio poa
 
1.What is the Critetia of good research?
2.Define Ethnography research,Cross sectional research, Empirical research, Qualitative & Quantitative research.
3.How research can be used to solve the problem?
4.Difference between Research methods and research methodology
5.Research design
Desa nzuri pitia C.R.Kothari
Leta possible nyingine za hivi karibuni
 
Back
Top Bottom