ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

Jamani vyeti vya ku certify ni;
Form 4
Form 6
Chuo transcript na cheti cha chuo.

Vipi kuhusu cha kuzaliwa na vingine vya training na workshop? Na computer ?
Cha kuzaliwa nacho una certify mkuu
Screenshot_20220609-165205.jpg
 
Tafuta affidavit itakayoonyesha majina hayo yaliyokosewa yanatakiwa kumaanisha jina hili. Kisha hudhuria utumishi ukiwa na hiyo affidavit na hivyo vyeti.

Wakati wa ukaguzi unaonyesha vyeti na affidavit.
Mimi vyeti vyangu vyote majina sawa hadi kitambulisho majina sawa shida inakuja cheti cha kuzaliwa jina la tatu liko tofauti hapo vipi mkuu ? Siku ya usaili nazuiwa ?

Vipi kwenye kuomba kazi ajira portal itazingua ?
 
Nilihudhuria nikakuta kesi kama yako jamaa vyeti vyote jina ni 'Ibrahim' cha kuzaliwa kina 'Ibrahimu' na akaambiwa inahitajika affidavit.
 
duuh kwahyo akazuiwa ,?

Na naipataje hiyo affidavit

Process na gharama yake inakuwaje
 
Acha zako sign sign tu hata ukisaini kupitia doc wps cha umuhimu saini iwe inaonekana vizuri....hizi ni zama za mapinduzi ya sayansi na teknolojia....
Ni kweli usemacho, ila kutokana nafasi chache na maelfu ya watu wanaoziwania, PSRS(ajiraportal) wamekua kama traffic police. Wanaibua tuu vijisababu kuengua watu ili kupunguza jam.
 
Cha kuzaliwa nacho una certify mkuuView attachment 2255970
Ukisoma Vizuri hapa.... ni kwamba hajatajwa Mwanasheria wala Wakili..

katika ishu ya BIRTH CERTIFICATE hata ililiyothibitishwa na RITA ni sahihi.. kwa kuwa wao ndio wasimamizi wa hivi vyeti... itakuwa ajabu eti wakatae cheti kilichothibitishwa na RITA alafu watake kilichothibitishwa na Mwanasheria.. ambae hana hata usithibitisho kuwa hicho cheti ni halali au si halali...

au kuna mtu humu cheti chake kilithibitishwa na RITA alafu Ajira portal wakasema ni BATILI?
 
Izo ni sheria unazojipangia ww wao wanataka kuona muhuri sasa ww ukijipangia vitu vyako sijui itakuaje.
 
Ukisoma Vizuri hapa.... ni kwamba hajatajwa Mwanasheria wala Wakili..

katika ishu ya BIRTH CERTIFICATE hata ililiyothibitishwa na RITA ni sahihi.. kwa kuwa wao ndio wasimamizi wa hivi vyeti... itakuwa ajabu eti wakatae cheti kilichothibitishwa na RITA alafu watake kilichothibitishwa na Mwanasheria.. ambae hana hata usithibitisho kuwa hicho cheti ni halali au si halali...

au kuna mtu humu cheti chake kilithibitishwa na RITA alafu Ajira portal wakasema ni BATILI?
Huu ujuaji hautakusaidia mkuu
 
Mwenye desa la research ambalo utumishi wanapenda kuchomoa maswali naomba anisidie au maswali ya research ambayo walishawahi ulizaga kwenye written interview ya utumish Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom