ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

Sina jibu la uhakika, watu wengi wako wanaomba sasa kuna uwezekano mfumo umezidiwa na umeanza kumisbehave kama ilivyokuwa zile za TAMISEMI, pili shrink file lako liwe chini ya mb 1, ukishindwa viscan tena viwe na kb chache za TAMISEMI wako ambao pdf zilikuwa zinagoma, nilipo shrink zilikubali kupakia
Msaad account nkifungua haifunguki naambiwa incorrect password or username hap ttz n nn
 
Na hapa mtu awe makini kweli, portal inapokea nafasi za kazi zilizoletwa kwao kutoka kwa waajiri tofauti kuanzia tasisi za serikali, mpk halmashauri. Hizi kazi kuna baadhi zinafanana lkn zinatoka tasisi tofauti, manake muajiri ni tofauti licha ya post kufanana. Nisikuchoshe, sasa hivi kuna hizi post mbili zinafanana lkn muajiri ni tofauti.
-Daktari daraja la II (Muajiri National Audit Office NAOT)
-Daktari daraja la ll (Muajiri KCMC)
Sasa mtu kaandika YAH: OMBI LA KAZI NAFASI YA DAKTARI DARAJA LA II. Kaaishia hapo, kumbuka sifa wanazohitaji NAOT ni tofauti na wanazohitaji KCMC. Kwenye heading pale mtaje muajiri mkuu
Na barua inatakiwa kuwa kwa kiingereza au kiswahili au lugha yoyote?
 
Mkuu bwana Mbaga tuende taratibu.

Kwani hii recommendation letter haiwezi kuwa ni barua yako ambayo umeiandika ya maombi ambayo inatakiwa ipitishwe na mwajili wako?(kwa wale walio ajiliwa).

Maana ktk kupitisha atagonga mhuri na sahihi ataweka na tarehe ataandika.
Me ndo nimeelewa hivo.

Au ni lazima aandike yeye?
Lazima aandike yeye, akuelezee jinsi anavyokujua na uchapakazi wako
 
Na hapa mtu awe makini kweli, portal inapokea nafasi za kazi zilizoletwa kwao kutoka kwa waajiri tofauti kuanzia tasisi za serikali, mpk halmashauri. Hizi kazi kuna baadhi zinafanana lkn zinatoka tasisi tofauti, manake muajiri ni tofauti licha ya post kufanana. Nisikuchoshe, sasa hivi kuna hizi post mbili zinafanana lkn muajiri ni tofauti.
-Daktari daraja la II (Muajiri National Audit Office NAOT)
-Daktari daraja la ll (Muajiri KCMC)
Sasa mtu kaandika YAH: OMBI LA KAZI NAFASI YA DAKTARI DARAJA LA II. Kaaishia hapo, kumbuka sifa wanazohitaji NAOT ni tofauti na wanazohitaji KCMC. Kwenye heading pale mtaje muajiri mkuu
Ukimtaja mwajiri ndani ya Barua badala ya kwenye kichwa cha barua, hapo vipi?

Hata hivyo unapoapply ni kwenye sehemu husika tu jambo ambalo utumishi lazima wajue unaomba nafasi gani na wakifungua barua na nyaraka zako wanategemea wakute sifa wanazozitaka kulingana na post yao ulipodumbukiza nyaraka zako(NAWAZA TU)
 
Lazima aandike yeye, akuelezee jinsi anavyokujua na uchapakazi wako
Kuna kitu sijakielewa kwenye account hapa,sehemu ya kuweka barua niliyoandika mimi ambayo naisubiri ipitishwe sehemu kwa boss.Au ndo nitaletewa option hiyo pale nitakapoingia kwenye ku apply kazi yenyewe?

Kwa sasa nipo na upload vyeti kwanza ambapo imefikia 92%ili nifuate next stage ya kuingia kwenye applying.
 
Barua yako ya kazi unakuja Ku attach ukifikia hatua ya Ku declare, ukifika hiyo hatua ndio utaambiwa attach barua yako, na baada ya hapo unakuwa umemaliza inabaki issue ya kwenda Ku apply
 
Sawa mkuu asante ubarikiwe.Ngoja tuone na haya mapambano yetu.Hapa ngoja nipambane na mahakamani ku certify vyeti.
 
kwe
Ukimtaja mwajiri ndani ya Barua badala ya kwenye kichwa cha barua, hapo vipi?

Hata hivyo unapoapply ni kwenye sehemu husika tu jambo ambalo utumishi lazima wajue unaomba nafasi gani na wakifungua barua na nyaraka zako wanategemea wakute sifa wanazozitaka kulingana na post yao ulipodumbukiza nyaraka zako(NAWAZA TU)
kwenye masharti ya waobaji kwa wote wamebold kabisa kuonyesha msisitizo wa walichokitaka. just fanya wanavyoelekeza as long haikugarimu chochote
 
Mkuu bwana Mbaga tuende taratibu.

Kwani hii recommendation letter haiwezi kuwa ni barua yako ambayo umeiandika ya maombi ambayo inatakiwa ipitishwe na mwajili wako?(kwa wale walio ajiliwa).

Maana ktk kupitisha atagonga mhuri na sahihi ataweka na tarehe ataandika.
Me ndo nimeelewa hivo.

Au ni lazima aandike yeye?

Mkuu bwana Mbaga tuende taratibu.

Kwani hii recommendation letter haiwezi kuwa ni barua yako ambayo umeiandika ya maombi ambayo inatakiwa ipitishwe na mwajili wako?(kwa wale walio ajiliwa).

Maana ktk kupitisha atagonga mhuri na sahihi ataweka na tarehe ataandika.
Me ndo nimeelewa hivo.

Au ni lazima aandike yeye?
Point ni hiyo barua kuonyesha kwamba ww una faida ikiwa utaajiriwa, mfano umefanya kazi/Internship kwenye ofisi ya Waziri mkuu sasa waziri mkuu anaweza kukuandikia barua kwamba ww unafaa kwenye hiyo ajira.
Kuhusu kuandika ww mhusika au kuandikiwa hapo sijui.
 
Kikubwa viwe certified, colour siku zote ipo kwa ajili ya decorations tu.. Huku kwetu uswahilini mbona tunaishi kwenye nyumba hata plaster hamna Ila maisha yanaendelea [emoji16]
Hivi once ukiwa umesha-upload vyeti huko ajira portal (ambavyo haviko certified) kuna possibility ya kudelete na kuweka vyengine (ambavyo viko certified)?
 
Naomba kuuliza wakuu, hivi kama umetuma maombi na hujapokea email inayoonyesha umetuma maombi yako kikamilifu itakuwa kuna tatizo?
 
Ila pale kwnye account si wameandika received?kama ndio basi shaka ondoa,mm kuna post moja pia sjapata email
 
Back
Top Bottom