ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

Mimi huwa nashangaa HOA maadvocate wanamitambo au vifaa vya kugundua vyeti feki??? Kama hawana kwa Nini wasipeleke necta au mamlaka husika wakahakiki?? Au kamradiiiiiii????
Hao wanaverify kuwa vyeti vyako ni TRUE COPY OF ORIGINAL....
 
Mkuu, hiki kipengele inaonesha ni kipya eeeh...? Halafu kinaonesha ni Chakuogofya maana wamebold kabisa hayo maneno, So kwa kwa namna nilivyoelewa Mimi wanasema kuwa "jina la Maombi na taasisi iliyoombewa iandikwe katika somo la Barua ya Maombi, fupi ya ambayo itafanya Maombi kuwa batili"
Nawe mkuu unaweza kuchangia ni namna gani umekielewa hiko kipengele maana linaweza kuwa msala kwa waombaji wengi.. Hyo bold ni yakuiogopa sana... Karibu mkuu
soma kipengele namba iv
 
Msaada nikitaka kusave academic qualifications inagoma kuapload
 
Kusaini na application mbona me nilisaini na bado nkaitwaa haina noma wala nini ila Shida USIPOCERTIFY VYETI.
 
wameanza kuwa strictly tofauti na kipindi cha nyuma,
Kusaini na application mbona me nilisaini na bado nkaitwaa haina noma wala nini ila Shida USIPOCERTIFY VYETI
 
Mkuu, hiki kipengele inaonesha ni kipya eeeh...? Halafu kinaonesha ni Chakuogofya maana wamebold kabisa hayo maneno, So kwa kwa namna nilivyoelewa Mimi wanasema kuwa "jina la Maombi na taasisi iliyoombewa iandikwe katika somo la Barua ya Maombi, fupi ya ambayo itafanya Maombi kuwa batili"
Nawe mkuu unaweza kuchangia ni namna gani umekielewa hiko kipengele maana linaweza kuwa msala kwa waombaji wengi.. Hyo bold ni yakuiogopa sana... Karibu mkuu
Na hapa mtu awe makini kweli, portal inapokea nafasi za kazi zilizoletwa kwao kutoka kwa waajiri tofauti kuanzia tasisi za serikali, mpk halmashauri. Hizi kazi kuna baadhi zinafanana lkn zinatoka tasisi tofauti, manake muajiri ni tofauti licha ya post kufanana. Nisikuchoshe, sasa hivi kuna hizi post mbili zinafanana lkn muajiri ni tofauti.
-Daktari daraja la II (Muajiri National Audit Office NAOT)
-Daktari daraja la ll (Muajiri KCMC)
Sasa mtu kaandika YAH: OMBI LA KAZI NAFASI YA DAKTARI DARAJA LA II. Kaaishia hapo, kumbuka sifa wanazohitaji NAOT ni tofauti na wanazohitaji KCMC. Kwenye heading pale mtaje muajiri mkuu
 
Back
Top Bottom