mrMaco
Member
- Jun 19, 2020
- 87
- 153
Hao wanaverify kuwa vyeti vyako ni TRUE COPY OF ORIGINAL....Mimi huwa nashangaa HOA maadvocate wanamitambo au vifaa vya kugundua vyeti feki??? Kama hawana kwa Nini wasipeleke necta au mamlaka husika wakahakiki?? Au kamradiiiiiii????