Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Tukifikisha idadi ya ndege sawa na Ethiopia, watu wataota magaga ya kwenda Airport kupokea ndege.

Wakati wa Kambarage, ATC ikifikisha ndege 14. Mwenye picha "toka maktaba" Mwl akipokea ndege japo moja tu, atusaidie.
 
Makonda yuko vizuri katika kumbukizi, yaani ametaja mito yote mikubwa ya Dar na km zake bila kusoma.
 
Maendeleo hayapimwi kwa vitu bali watu! Kama watu wanalala njaa, wanakula mlo mmoja kwa siku hizo ndege zinawasaidia nini Watanzania? Kama wanaenda vituo vya afya wanaandikiwa dawa wakanunue, nini direct impact ya hizo ndege kwa mlalahoi wa Chato?
 
Mbona jamaa aliyesema ndege itatua ikasemwa muongo akamatwe mbona kweli imefika ?
 
Airline ina benefits gani? Mshamba sana wewe, unafananisha ndege na maji, hao unaona wana ndege masuala madogo madogo wameshayapita.
Huyu ni jembe wa upinzani ila hajui indirect benefits za airline.
Mzee karume sijui alikosea wapi. Angetumia mpira tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…