Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Tukifikisha idadi ya ndege sawa na Ethiopia, watu wataota magaga ya kwenda Airport kupokea ndege.

Wakati wa Kambarage, ATC ikifikisha ndege 14. Mwenye picha "toka maktaba" Mwl akipokea ndege japo moja tu, atusaidie.
 
Maendeleo hayapimwi kwa vitu bali watu! Kama watu wanalala njaa, wanakula mlo mmoja kwa siku hizo ndege zinawasaidia nini Watanzania? Kama wanaenda vituo vya afya wanaandikiwa dawa wakanunue, nini direct impact ya hizo ndege kwa mlalahoi wa Chato?
 
Channel gani inarusha live?
TBC1
1572088383442.png
 
Airline ina benefits gani? Mshamba sana wewe, unafananisha ndege na maji, hao unaona wana ndege masuala madogo madogo wameshayapita.
Huyu ni jembe wa upinzani ila hajui indirect benefits za airline.
Mzee karume sijui alikosea wapi. Angetumia mpira tu.
 
Back
Top Bottom