Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Fast jet tulipanda kwa nauli zetu na hakukuwa na siasa chafu. Hizi ATCL tunapanda kaa nauli zetu na bado mnatuletea gutter politics.
Ndege za magufuli? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] idiot.....Magufuli Mzalendo wa ukweli Tanzania
Kuna wabwekaji humu mtandaoni wanamtukana Magufuli Ila wanatumia ndege za Magufuli kwenda kwao
Kwahiyo unaona bora upande mali ya mabeberu Kuliko mali ya Tanzania?
mjomba,ukiiwekeza 600b kwenye miundo mbinu ya umwagiliaji vijana hawatolia ajira na hazina kutanonana,sasa hiyo ni moja tu,je mabilioni ya ndege zote 11!?..return on capital na return on investment kwenye kilimo ni bora mara elfu moja kuliko kununua hayo mapipaHuyu ni jembe wa upinzani ila hajui indirect benefits za airline.
Mzee karume sijui alikosea wapi. Angetumia mpira tu.
haitakiwi kuiga,fanya mambo kwa fikra na mazingira yako,suala la msingi ni watu wawe na uhakika wa kula,kutibiwa afya ikileta mgogoro,na malaziUkumbuke kuwa Germany urusi China na uingereza walifanya maendeleo ya vitu mpaka Sasa NI mataifa makubwa na baadhi ya wananchi ni masikini lakini marekani ilienda na vitu vyote vitu/na watu ilishindwa ikaamua kuendeleza vitu kwa hiyo hata haya yanayofanyika siyo yakubeza
Uingereza Kuna shida ya maji? Umeme? barabara?Ukumbuke kuwa Germany urusi China na uingereza walifanya maendeleo ya vitu mpaka Sasa NI mataifa makubwa na baadhi ya wananchi ni masikini lakini marekani ilienda na vitu vyote vitu/na watu ilishindwa ikaamua kuendeleza vitu kwa hiyo hata haya yanayofanyika siyo yakubeza
Juzi nimetoka Dar sijaoga nikaenda oga mwanza, maji kimara yote ile haina wiki ya pili sasa.
Huyo kutoa mawazo yake sio kumtukana rais, acha watu waseme ukweli ili pumba zijitenge na mcheleMagufuli Mzalendo wa ukweli Tanzania
Kuna wabwekaji humu mtandaoni wanamtukana Magufuli Ila wanatumia ndege za Magufuli kwenda kwao
Wengine tunasubiri taarifa ya mapato na matumizi ya ATCL.Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi