Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ni vema ukamwambia na nyumba aliyomuhonga hawara yake airudishe.Kisa cha mtafaruku hadi kwenye family!Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napendekeza siku za kupokea ndege ziwe ni public holiday ili Watanzania wengi kwa umoja wetu tuweze kushiriki na kuenzi kazi nzuri inayofanywa na Kim Sung Pombe.
Temboni yote nimeacha haina maji, sasa kama temboni hamna maji huko chini kote suka,stop over,etc hakuwezi kuwa na maji, labda kama haujawahi kuwa connected na maji ya serikali, sababu wewe huwezi jua kama kuna shida ya maji au la.Mkuu we unakaa kimara ipi iliyokosa maji week nzima mkuu
Kwanini wanaendelea ku bail out pamoja na hasara kila mara?Uongozi mpya utakapo ingia madarakani tutasikia hasara zilizosababishwa na hizi ndege. Wa South Africa kila kukicha serikali ina bailout shirika lao la ndege na hapo ndege zingine sio zao wamekodishwa, hii biashara ni ya mabeberu na ndo maana nchi nyingi zinakula hasara.
Hivi kuna haja gani ya kuwa na vikao vya bunge wakati pesa na miradi ya maendeleo inapangwa na kutolewa na rais?Yaliyojiri katika hafla hiyo ya mapokezi ya ndege hii
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda: Wabunge wa Majimbo ya Kawe, Kibamba na Ubungo ni wezi wanaokula posho bungeni bila kufanya kazi kwa wananchi. Asema mwaka 2015 walifanya makosa kuruhusu watu hawa kuwa wabunge
Wilaya ya Ubungo ina wabunge wawili na ina Meya wa Upinzani; nakuomba Mhe. Rais unisaidie niwajengee Hosp ya Wilaya wana Ubungo
Naye, Kaimu Balozi wa Marekani: Dkt. Inmi Patterson, akitumia lugha ya Kiswahili amewapongeza Watanzania na Shirika la ATCL kwa kununua ndege mpya ya pili aina ya Boeing B787-8. Asema, kukua kwa safari za anga kutakuza biashara na utalii
Ufuatao ni mtiririko wa hotuba fupi ya Rais Magufuli
RAIS MAGUFULI: Naambiwa hapa kuna Mabalozi na Wawakilishi zaidi ya 30. Waswahili wanasema ukitaka kwenda safari ndefu lazima uanze na fupi. Tulipoanza kufufua ATCL kwa kununua Bomberdier wengi walikejeli na wangine walidhani `tunabeep’. Ndege 7 tulizonunua zimewasili
Ndege nyingine 4 tulizonunua zitawasili kwa nyakati tofauti (Bombadier na Airbus). Ndege hizi zimeshushwa hapa na Watanzania, hadi Marekani inajulikana kuwa Watanzania wanafedha. Tembeeni kufua mbele
> Hii inamaanisha Tanzania inaweza na Afrika inaweza
Najisikia raha kuwa Mwenyekiti wa CCM, nashangaa tumewezaje. Tumshukuru Mungu. Kwanini Mandege haya hayakuja miaka ya nyuma? Makonda umeomba Bil. 1.5 kujenga Hospitali Ubungo, nitazitoa. Waziri wa TAMISEMI tafuta fedha na Hospitali ianze kujengwa Ubungo
Shukrani hizi zimuendee Mungu na Watanzania wote bila kujali Dini na Vyama vyao. Watanzania wamenunua ndege hizi kwa fedha za kodi zao, mpaka madudu haya yamekuja
> Wameondoka kule Seattle Marekani jana saa 3 usiku na kituo cha kwanza ni Tanzania
Hizi ndege zimenunuliwa kwa fedha za Serikali na sio ATCL, ninyi ATCL tumewaazima mfanye biashara. Waziri ameniambia hadi sasa wamekusanya kiasi cha dola milioni 14, nitakwenda kuzicheki kesho. Nawapongeza ATCL
> ATCL wamepata cheti cha Ubora wa Huduma
Idadi ya wasafiri wa anga imeongezeka, nilikuwa Mpanda na wananchi waliomba ndege zianze kwenda, nimeambiwa safari zimeanza leo na ndege inaenda imejaa na inarudi imejaa
> Baadhi ya maofisa wa ATCL wanalugha mbaya na nisingependa kusikia malalamiko tena
Tuendelee kujiamini na kutangaza mazuri ya Taifa letu. Tuongeze juhudi za kuchapa kazi na kulipa kodi
> Sipendi kuwapotezea muda, leo ni siku ya sherehe na sio siku ya hotuba
> Niko tayari kuzindua ndege hii yenye jina la Rubondo
Zilienda wapi hizo ndege?Hivi anajua baba wa taifa hili alituletea ndege ngapi na hakuwa na maneno ya kishamba?MTU ambaye amekulia kwenye umasikini,njaa,migogoro ya kifamilia na mwenye inferiority complex anachekesha sana.Damn dumb!
Hizo ni story za kwenye bible,zinarenga imani na kujitakasa.Mmoja ameshamjibu, kujimwambafai hakutamfanya aonekane kiongozi bora zaidi kuliko wote
Mimi matamshi yake kama haya nayafananishaga na ile story ya kwenye Biblia;
Watu wawili walikuwa kwenye sinagogi wakiomba, mmoja akitubu kwa dhati asamehewe madhambi yake huku akipiga piga kifua chake! Eee Mungu unisamehe Mimi mkosaji!
Na wa pili alikuwa pembeni yake akitamka maneno haya; "nakushukuru Eee Mungu, Mimi sio kama huyu, nafunga mara tatu katika wiki, natoa zaka na sadaka...akimaanisha yeye si mdhambi kama huyo wa kwanza
Mwisho wa kisa tunaambiwa maombi yaliyopokelewa na ya yule aliyeomba kwa kupiga piga kifua chake kwamba ni mdhambi...Hakujimwambafai kama huyu wa pili
Anajisifia kuwa mwenyekiti wa CCM alafu mimi niwe mzalendo.Tuwe Wazalendo sometime jambo zuri likifanyika.
Waulize CCM na Magufuli akiwemo.Zilienda wapi hizo ndege?
Basi kipaumbele chake ni kufufua mashirika yaliouliwa na kujitahidi kupambana na majizi mbalimbali,hivyo tumsaidie kwenye vipaumbele vyake kama ambavyo wenye vipaumbele vya wizi walisaidiwa na wenzao.Kila mtu kwenye uongozi wake anakipaumbele chake,mhe kauli hii huwa anatereza sana kuiongea,maana kila kiongozi anamazuri na mapungufu yake sikwamba yeye kila kitu kipo smoothly kwa miaka hii minne.
Waliokaribu yake wamkumbushe
Kuhusu maofisa wa ATCL kuwa na Lugha mbaya nakubaliana naye kabisa hasa Mwanza,sijui kama yule mama Meneja bado yupo pale MwanzaYaliyojiri katika hafla hiyo ya mapokezi ya ndege hii