Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
fetty....Huyu ni jembe wa upinzani ila hajui indirect benefits za airline.
Mzee karume sijui alikosea wapi. Angetumia mpira tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fetty....Huyu ni jembe wa upinzani ila hajui indirect benefits za airline.
Mzee karume sijui alikosea wapi. Angetumia mpira tu.
Sasa mbona akiwasema mnawatetea tena hao hao waliofanya tufike hapa mkuu?Waulize CCM na Magufuli akiwemo.
Si mlisema toka UHURU CCM haijafanya kitu chochote?watoke hazalani wajitetee wenyewe bhana tumechoka kuwatetea!!
Ndege za maghufuli? Hujasikia hizi ndege ni za watanzania wote bila kujali itikadi zao?Magufuli Mzalendo wa ukweli Tanzania
Kuna wabwekaji humu mtandaoni wanamtukana Magufuli Ila wanatumia ndege za Magufuli kwenda kwao
Look here,buddy!Nilicholenga ni kwamba anajidai ni yeye pekee aliyefanya maendeleo kuliko mtu yoyote wakati si kweli.Maisha ya Watanzania yapo hoi bin taaban halafu yeye ananunua midege.Ujinga.Vitu hufanywa kwa hatua siyo kurukaruka kama ngedere.Sasa mbona akiwasema mnawatetea tena hao hao waliofanya tufike hapa mkuu?
Jibu ni hili, pesa ambayo ingetaliwa kuwapandishia mshahara wafanyakazi na kuwalipa vyema stahiki zao zimepelekwa kununua midege, marais waliopita walijali zaid watu kuliko vituRais amesema UKWELI kabisa.na mara nyingi ukweli HUUMA.
Swali hili ambalo Rais JPM amewauliza Watanzania ni swali lililojaa HEKIMA ambalo litawafanya baadhi ya Watanzania WAJITAFAKARI sana.
Hasa wanaobeza kila juhudi zake za maendeleo kila kukicha.
Tanzania Hoyee!!
Magufuli Hoyee !!
Ndio maana wengine huyu mtu tunamktaa ila nyie ndio wagumu kuelewa kuwa hafai.Apa Magufuli ndio uwa anamkosea sana baba wa taifa".
Ukikutana na MTU ka Huyo ujue ni tahira.Si mlisema toka UHURU CCM haijafanya kitu chochote?
Vifua mbele vya wapi mkuu?Watu hawana furaha hela hakuna.Maisha magumu.Wakilalamika wanaambiwa walikuwa wapiga dili au wavivu.Na zaidi wanaambiwa wahame nchi utadhani wakati wanaomba uongozi ahadi ilikuwa ni kuwatengenezea Watanzania mazingira magumu ya kuishi kishetani/living hell!Naona mitaani CCM na Wanyonge wanatembea kifua mbele wamenunuliwa mandege na JPM!
Acha magaga yatoke tu.IPI bora hela kuwa kwa watu wachache wengi hoi na hakuna vitu au bora hela kuwa chache kwa watu ingawa uhoi bado upo kiasi chake na tunaona maendeleo ya vitu au?Tukifikisha idadi ya ndege sawa na Ethiopia, watu wataota magaga ya kwenda Airport kupokea ndege.
Wakati wa Kambarage, ATC ikifikisha ndege 14. Mwenye picha "toka maktaba" Mwl akipokea ndege japo moja tu, atusaidie.
Victoire is it "impossible is nothing" or "nothing is impossible!" Nadhani ni "nothing is impossible!"Safi sana,hii itakuwa na route ya Dar London. Impossible is nothing.
ATCL imeingiza sh. ngapi kwa mwaka jana?Huyu ni jembe wa upinzani ila hajui indirect benefits za airline.
Mzee karume sijui alikosea wapi. Angetumia mpira tu.