Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

2016-2025 Kumbe Advocate alionya mapema haya mambo???
Tuombeane mema sio vifo
 
Unaowaita prophets of ndio walimuwekea mikono joka kuu ili ashinde kinyang'anyiro
 
UNA UHAKIK HY MAZA ANA MKATABA NA MUNGU? MBONA MUNGU KESHAMKATAA NA ATAMFYEKA PUNDE
Wewe ni nabii?
Mungu amekuambia?, please share umejuaje au Mungu amezungumza vipi na wewe, kwa maono, kwenye ndoto au apparition?.
P
 
Sioni alitoboa 2025-2030

Nina mashaka ya kiimani, kiafya na kimfumo

Huyu mtu hamalizi muda wake madarakani hata aforce kiasi gani!

Tuendelee kuwepo!!.
Hili ni nje ya uwezo wetu, hili ni la katika mamlaka iliyo Juu unless na wewe umejiunga na manabii wa majanga hivyo unamtolea kauli umba ili hiyo kauli yako imuumbie kutomaliza hadi mwisho.

P
 
Mimi nawaombea majanga, maafa, vifo na mateso wale wote wanaohusika, wanao-support, wanaotetea, wanaowezesha, wanaoagiza na wanaotekeleza utekaji, utesaji, uuaji, ukandamizaji, ubagazaji, ulawiti, ufisadi na udhulumati katika nchi yetu ya TZ na hili ni kwao wote pamoja na familia zao.
Bora litokee timbwili as this is the only necessary ingredient to bring back the ‘sanity’.
 
Natamani afanyiwe kama Gaddafi. Avuliwe nguo, afiiiiiilwe na kumaliziwa kwa kipigo hadi kukata kauli sheitwan daughter of the morning.
Duh...!.
P
 
Tuwaepuke hata wanaojikomba ili wapate uteuzi vilaza na machawa watu.
 
Wanabodi,

Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.

Paskali
Hawa manabii wa majanga wanaanza tena, tuwapuuze!
P
 
Kwamba Jenista aliombewa kifo? Acha kupotosha watu
Usilolijua ni kama usiku wa giza!
Kuna popote nimetaja jina lolote la mtu yoyote?.

Ukikutana na mambo mengine ambayo wewe huyajui, bora jipitie zako tuu kimya kimya!.
P
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza!
Kuna popote nimetaja jina lolote la mtu yoyote?.
Ukikutana na mambo mengine ambayo huyajui, jipitie zako tuu kimya kimya!.
P
Acha zako. Unataka kutufanya sisi wajinga. Tunakujua tangia unasoma Mwenge Sm ukikaa jirani na nyumba za Aic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…