Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Mkuu umeitoa avatar yako ile iliyozoeleka, picha ya mtu Yuko karibu na Swimming Pool nahisi pale Mission to Seafarers pa zamani.Best nlikwenda holiday 2017 nkatembelea Jo'burg, Durban na Cape town.
Wabongo kule ni wazururaji na hawaaminiki.
Yaani usije ukaenda ukajitambulisha wewe ni from Tz.
Zipo ila wanajua sisi weziHata kazi za mashambani huko Mpumalhanga hakuna.
Karibu uje ujarabu bahati yako huenda ukatoboa kakaBro Mimi nakuj sauth naomba unipokee ila Sina mtaji
Ni kweli kabisa .Miaka ya 90 uchumi ulikuwa juu wazawa walikuwa wanapewa mpaka nyumba bure saivi hali ngumu wazawa wengi wanakimbilia maputo
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Dada zetu wanadanga hasa watoto wa dodoma na singida wanapta pesa huku kudanga ni kazi rasmiMbona nasikia kudanga Sauzi kunalipa
Botswana Kuna ng'ombe wengi kupita binadamu ila hakuna mchongo honestlySA kuna fujo sanaa kheri mtu uende hata Botswana
Wamekosa imani na sisi hata kazi za kuchuma Ma Apple wanajua tutaiba.
Sijui aisee...inaumiza sanaAlipotea mazima hata salamu hakuna!!??
sijui alipatwa na mkasa gani yule jamaa?
ThanksMtaji angalau dollars 4000 na biashara nzuri kufanya ni duka la vyakula many peoples huku wananunua chakula dukani miji mizuri ni Capetown ila kule maisha ghari,polokwane,East London,port Elizabeth hii mini hata vurugu ni chache ina wazungu wengi huwa hakuna vurugu sana
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hahaha, huyo alifulia sanaHaswa...alirudi na 3m...leo hii ukimpa 20k anakushukuruje
Hajawah kukaa sawa ..aliondoka 1997 akarudi siku ya msiba wa dingi ake na hiyo 3m..since then akasema harudi huko wenzake wote wameoa na maisha wanayo..yy kkutwa kugongea nyagiHahaha, huyo alifulia sana
Eeeeee mkuu.Mkuu umeitoa avatar yako ile iliyozoeleka, picha ya mtu Yuko karibu na Swimming Pool nahisi pale Mission to Seafarers pa zamani.
Kwenye familia yetu wapo wawili, mmoja 37, another kwenye late 40s, jamaa hawana chochote, wanaona hata aibu kurudi home, wote elimu yao ni form 6, and walifaulu vizuri tu, ujuaji mwingi wakaamua waende Ulaya. No kids, no house! Wakirudi wanafikia home na kwenda kushinda Samaki samaki siku nzima, wanasema hata wakirudi tz kuishi watafanya nini sasa? Hamna hata pa kuanzia, bora wapate fedheha huko Ulaya kuliko tz. Marafiki zao wote waliowaacha tz wapo very stable financially kibongo bongoHajawah kukaa sawa ..aliondoka 1997 akarudi siku ya msiba wa dingi ake na hiyo 3m..since then akasema harudi huko wenzake wote wameoa na maisha wanayo..yy kkutwa kugongea nyagi
Mimi Durban kaka nilienda Mozambique malamoja nimevutiw nataman niende KUHUSU magaidi Hawa wapo kaskanNi kweli kabisa .
Lakini kwa Mtafutaji wa sasa akitaka kutafuta aendo Mozambique kwani mambo yapo mengi ila tatizo ni Magaidi.
Ww uko mji gani Mku
Mhh hili linasikitisha na kuogopesha maana ni ndoto za wengi kwenda majuuKwenye familia yetu wapo wawili, mmoja 37, another kwenye late 40s, jamaa hawana chochote, wanaona hata aibu kurudi home, wote elimu yao ni form 6, and walifaulu vizuri tu, ujuaji mwingi wakaamua waende Ulaya. No kids, no house! Wakirudi wanafikia home na kwenda kushinda Samaki samaki siku nzima, wanasema hata wakirudi tz kuishi watafanya nini sasa? Hamna hata pa kuanzia, bora wapate fedheha huko Ulaya kuliko tz. Marafiki zao wote waliowaacha tz wapo very stable financially kibongo bongo
Mkuu Majuu siyo pabaya, but inategemea unaenda kufanya nini na kwa malengo gani
Lakini mbona wengine wanatusua jamani?? Dah aibu sana na misongo juuKwenye familia yetu wapo wawili, mmoja 37, another kwenye late 40s, jamaa hawana chochote, wanaona hata aibu kurudi home, wote elimu yao ni form 6, and walifaulu vizuri tu, ujuaji mwingi wakaamua waende Ulaya. No kids, no house! Wakirudi wanafikia home na kwenda kushinda Samaki samaki siku nzima, wanasema hata wakirudi tz kuishi watafanya nini sasa? Hamna hata pa kuanzia, bora wapate fedheha huko Ulaya kuliko tz. Marafiki zao wote waliowaacha tz wapo very stable financially kibongo bongo