Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini


Kabisa, Watanganyika hatina hulka ya kisaidiana na kushikamana!! Wapemba siyo wenzetu wale, tunawalazimisha tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabisa, Watanganyika hatina hulka ya kisaidiana na kushikamana!! Wapemba siyo wenzetu wale, tunawalazimisha tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakubaliana nawe hawa wapemba nina mashaka siyo WADANGANYIKA wala Watz.

Hata akifanikiwa mmoja basi jua maeneo aliyotoka wengi atawavuta, walio nyumbani atapigana kuwatumia japo mitaji ya vifaa used, hawapumziki hawa kazi kazi na kazi iendelee.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ndugu huko SA kwa mtaji kama wa 20m-22m biashara gani ambayo inaweza kumtoa mtu fasta fasta
Kodi ya fremu wastani ni kama shingapi
Gharama ya chumba cha kukaa ni kama shingapi
Kodi za serikali, umeme,maji
Fikiria hizo gharama zote zinatoka kwenye hiyo hiyo capital.
 
Sasa mkuu utaongeleaje vitu ambavyo umesimuliwa?ungekuwa umejaribu kuishi nje au hata kufika ungefanya comparison inayoleta logic.
By the way jamaa alikuangalia AKAKUSHANGAA SANA NA KUKUDHARAU[emoji16] japo wewe ulihisi kakuaminia, unaweza jiuliza kwanini?.
Kwa sababu mtu mwenye hekima katika kutoa ushauri huangalia sana interest ya mshauriwa ili kusudi asimkwaze au kumdisappoint,hiyo principle inaitwa HAWTHORNE.
Ukweli unabaki kuwa kuna opportunities sana nje na nyingi kuliko hapa kwetu na maslahi ni makubwa mno,nimeishi nje ninajua ninachokisema.
Huwezi kusema ni rahisi kutoboa kwenye nchi ambayo any time TRA wanakusumbua na mikodi mikubwa ya kukadiria isiyoeleweka,sheria za uchumi za ajabu ajabu,kufilisiwa na kufungiwa account,kuteswa kwa wafanyabiasha na kunyang'anywa mali ulizozitafuta kwa jasho kwa kigezo cha UHUJUMU UCHUMI [emoji23] utoboe kirahisi kulinganisha na nchi zenye sera bora za maendeleo na zilizostaarabika.

Hebu fikiria ikiwa INVESTORS wenye billions of dollars capitals wanashindwa kufanya biashara kwa mazingira mabaya hadi wanakimbia nchi itakuwa wewe mwenye ml 2 - 10 utoboe kirahisi?[emoji16]

Achana na biashara twende kwenye kilimo na ufugaji utatoka vipi,ulime nini?una soko la uhakika?pamba ambayo kilo unauza shilingi 800 au mahindi unayonunua stock kubwa ya tani kadhaa,unasafirisha kufika mipakani yanazuiliwa kuingia kuwa ya SUMU[emoji24]?kwa sababu ya uhusiano wa kidiplomasia mbaya baina yetu na majirani?.Mara ngapi tani za nyanya,maparachichi,mihogo,korosho zinatangazwa kuharibika kwa kukosa soko?

Ukiajiliwa je?ukae miaka 6 bila promotion, increment na ongezeko la mshahara utatoboa?.
Kuna ajira?NGO'S na Government zinaajiri?.

NoteπŸ˜€ada wa kazi na mfanya usafi std 7 DUBAI,QATAR,OMAN na SAUDIA analipwa kuanzia TSH 800,000 monthly,free meal,free healthcare,free accomodations,free WiFi,unamlinganisha na mfanya kazi gani wa serikali yako na mwenye elimu ipi?
 
Mlevia balaa
Frustrated fela!
Ulevi siyo jawabu!
Hizo ni dalili za kukata tamaa na utoto.
Ukishajua ulipokosea unatafuta kusawazisha siyo kukaanga maini!
Mbona wengine tumezurula tukarudi nchini tukaitikia wito wa mapinduzi ya kijani na kilimo n.k.
Vyombo tunapiga lakini huwezi kutuita walevi.

Kujikubali tu kuwa sisi siyo watoto wa Buckingham Palace.

Everyday is Saturday............................ 😎
 
Wengi wanaoenda nje wanaoenda kwa picha ya maisha mazuri sijui Nini ..wanasahahu Kila sehemu no struggle ..Sasa waliofika na kukuta Mambo ni tafauti wanakuja kukuambia usiende Baki hapa hapa utatusua. Side asikwambie mtu ..kutusua kwenye nchi Kama hii hasa Kama no kijana masikini utachukua karibu robo tatu ya maisha yako yote ..inahitaji umachale na umakini usilale ili walikulishe ujinga wakutawale..
 
Kabisa Mkuu,bahati mbaya wengi,hawalijui hili ndugu zangu tutoke tutafute fursa,ukiona mlango mmoja umefungwa ipo mingi tu iko wazi,tutoke tutafute fursa tufanikiwe [emoji736]
 

That true
 
Kutoboa kirahisiπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…