Mimi nimetoa angalizo tu, siku ya siku ikifika nitakukumbusha uzi huu.Mkuu, kwa maoni yangu itakua kama juzi kama jana. Hakuna kitakachobadilika, hakuna kitakachofanywa, hakuna kitakachotokea, hakuna atayeleta resistance, HAKUNA
Itakua ile slogan maarufu ambayo huzungumzwa hadharani tena mchana kweupee
"Tunachukua, tunaweka, waaaa". Shika sana hili neno la mwanzo, tena kotekote, Bara na Visiwani
Kwani nchi ni ya CCM!CCM haiwezi kabidhi nchi kwa wahuni 'aka' wakora
Unfortunately Yes MkuuKwani nchi ni ya CCM!
Hujui?Kwani nchi ni ya CCM!
Wapinzani tunajua hamna jeshi la kupambana na sisi.Kwa hali ilivyo uchaguzi wa mwaka huu wa Oktoba ni kama bomu linalosubiri kulipuka, usipoendeshwa kwa tahadhari Tanzania inaweza kuandika historia mpya.
Navikumbusha Vyombo vya Dola, Msajili wa vyama, Tume ya Uchaguzi ya Taifa NEC na viongozi wote wa vyama vya siasa na serikali kuepuka maneno na viashiria vyovyote vinavyoweza kuonyesha upendeleo kwa chama au mgombea fulani.
Naziasa hasa NEC na ZEC kutumia busara ya hali ya juu yaacheni maamuzi ya wapiga kura yaheshimiwe, kitendo chochote cha upendeleo kama kilichofanywa na Jecha 2015 kinaweza kusababisha historia ya nchi yetu kuandikwa upya.
Wagombea wa safari hii na wapiga kura wao wako serious na maisha yao kama nyie mlivyo serious na kazi zenu.
Please, NEC/ZEC, Don't temper with the ballot box, handle with care it's an explosive device.
Sema wewe ndo huna uthubutu huo.. Tz ya leo siyo ya mwaka 1990.. fungua macho broUnfortunately Watanzania hawana uthubutu huo
Afrika nzima, hakuna nchi ina wananchi waoga kama watanzaniaUnfortunately Watanzania hawana uthubutu huo
Aisee . . . huu ni uweli wa waiz kabisa. Hatutaki ujinga kwenye hiliWagombea wa safari hii na wapiga kura wao wako serious na maisha yao kama nyie mlivyo serious na kazi zenu.
Please, NEC/ZEC, Don't temper with the ballot box, handle with care it's an explosive device.
Labda shangazi yako!Hakuna uchaguzi wapinzani watapigwa mbele na nyuma kama huu