Uchaguzi 2020 Angalizo Uchaguzi wa Mwaka huu; NEC/ZEC msicheze na sanduku la kura ni 'Bomu'

Subiri October ifike ndo utaamini kama watanzania ni waoga au la!!
Kama 2015, Jecha alipindua meza mchana kweupe na hakuna aliyethubutu kuweka mguu barabarani , jaribuni wakati huu wa Magufuli muone mziki wake.
 
Kila la heri ndugu yangu. Pengine umri umenitupa mkono pia
🤣🤣🤣.. Tanzania yenye watu wengi wanaotumia social media ni vigumu kuwadanganya.. ccm iko kwenye majaribu makubwa kuwahi kuikuta
 
Kwa hali ilivyo uchaguzi wa mwaka huu wa Oktoba ni kama bomu linalosubiri kulipuka, usipoendeshwa kwa tahadhari Tanzania inaweza kuandika historia mpya.

Navikumbusha Vyombo vya Dola, Msajili wa vyama, Tume ya Uchaguzi ya Taifa NEC na viongozi wote wa vyama vya siasa na serikali kuepuka maneno na viashiria vyovyote vinavyoweza kuonyesha upendeleo kwa chama au mgombea fulani.

Naziasa hasa NEC na ZEC kutumia busara ya hali ya juu yaacheni maamuzi ya wapiga kura yaheshimiwe, kitendo chochote cha upendeleo kama kilichofanywa na Jecha 2015 kinaweza kusababisha historia ya nchi yetu kuandikwa upya.

Wagombea wa safari hii na wapiga kura wao wako serious na maisha yao kama nyie mlivyo serious na kazi zenu.

Please, NEC/ZEC, Don't temper with the ballot box, handle with care it's an explosive device.
Waambie pamba wazitoe masikioni
 
Kama 2015, Jecha alipindua meza mchana kweupe na hakuna aliyethubutu kuweka mguu barabarani , jaribuni wakati huu wa Magufuli muone mziki wake.
Sawasawa . Tutaingia barabarani na tutaona atatufanya nini! 2015 sio 2020 na kwa taarifa yako , the world is watching, Amsterdam are watching. ICC is ready for arrest warrant!
 
Jiwe hasikii. Ashapanga PoliCCM ,TISS na NEC kumtangaza
Mubarak wa Misri aliishi madarakani miaka mingapi na alikuwa na nguvu kiasi gani? Mbona aliishia jela na kuletwa mahakamani kwenye cage kama ngedere?
Albashiri wa Sudan miaka mingapi on power na kiburi chake aliishia kulalamika kuwa "sikuzoea kunyea ndoo jamani"
Mifano mingi Gaddafi jee? Karibu miaka 40 katika power na mbabe kwelikweli, lakini kwa kutosikia wenye nchi wenye nchi wana taka nini aliishia kudhalilishwa hadi kufa kama kibaka mtaroni.
Ushauri wa mtoa mada ni bora zaidi kuliko mahubiri ya Gwajima au Sheikh Al had wa Makonda.
 
Afrika nzima, hakuna nchi ina wananchi waoga kama watanzania
Yaani kama vile wamemwagiwa maji ya baridi.
Mkuu nikuambie kitu kimoja, hapakuwa na MTU wakusimama mbele na kukomalia jambo.
Lakini kwa huyu Lissu hamasa iliyopo ni kubwa hatari kama ujinga utaendekezwa yale mambo ya kusikia msimamizi wa kituo Fulani kachomwa kisu au DED kapigwa mshale tusishangae kuyasikia.
Sihamasishi kwa sababu siyapendi kabisa lakini naonya.
Acheni kufanya wizi, utakufa na kuacha familia yako na nishani ya ushujaa hakuna atakaye kupa.
 
Mkuu, kwa maoni yangu itakua kama juzi kama jana. Hakuna kitakachobadilika, hakuna kitakachofanywa, hakuna kitakachotokea, hakuna atayeleta resistance, HAKUNA

Itakua ile slogan maarufu ambayo huzungumzwa hadharani tena mchana kweupee
"Tunachukua, tunaweka, waaaa". Shika sana hili neno la mwanzo, tena kotekote, Bara na Visiwani
Kwani Januari na Nape watasaidia tena kuchanga karata za wizi?
 
Mubarak wa Misri aliishi madarakani miaka mingapi na alikuwa na nguvu kiasi gani? Mbona aliishia jela na kuletwa mahakamani kwenye cage kama ngedere?
Albashiri wa Sudan miaka mingapi on power na kiburi chake aliishia kulalamika kuwa "sikuzoea kunyea ndoo jamani"
Mifano mingi Gaddafi jee? Karibu miaka 40 katika power na mbabe kwelikweli, lakini kwa kutosikia wenye nchi wenye nchi wana taka nini aliishia kudhalilishwa hadi kufa kama kibaka mtaroni.
Ushauri wa mtoa mada ni bora zaidi kuliko mahubiri ya Gwajima au Sheikh Al had wa Makonda.
Walikuwa wanamiliki hadi vikundi vya kigaidi officially
 
Mkuu nikuambie kitu kimoja, hapakuwa na MTU wakusimama mbele na kukomalia jambo.
Lakini kwa huyu Lissu hamasa iliyopo ni kubwa hatari kama ujinga utaendekezwa yale mambo ya kusikia msimamizi wa kituo Fulani kachomwa kisu au DED kapigwa mshale tusishangae kuyasikia.
Sihamasishi kwa sababu siyapendi kabisa lakini naonya.
Acheni kufanya wizi, utakufa na kuacha familia yako na nishani ya ushujaa hakuna atakaye kupa.
Watakaojaribu kuichafua nchi yetu watapambana na mkono dhalimu wa dola
 
Mubarak wa Misri aliishi madarakani miaka mingapi na alikuwa na nguvu kiasi gani? Mbona aliishia jela na kuletwa mahakamani kwenye cage kama ngedere?
Albashiri wa Sudan miaka mingapi on power na kiburi chake aliishia kulalamika kuwa "sikuzoea kunyea ndoo jamani"
Mifano mingi Gaddafi jee? Karibu miaka 40 katika power na mbabe kwelikweli, lakini kwa kutosikia wenye nchi wenye nchi wana taka nini aliishia kudhalilishwa hadi kufa kama kibaka mtaroni.
Ushauri wa mtoa mada ni bora zaidi kuliko mahubiri ya Gwajima au Sheikh Al had wa Makonda.
Magufuli ana mapungufu sawa lakini unamuonea kumfananisha na hao madikteta wa Kiarabu
 
Back
Top Bottom