MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 595
Watu wana midomo mirefu
Labda ungetujuvya lengo na maana la demokrasia ya vyama vingi, labda wengine tungekufahamu. Tunapoteza fedha kibao kufanya uchaguzi wakati watu wenyewe ni nchi masikini. Kama hakuna nia ya kuheshimu matokeo ya wapiga kura, basi fedha zetu zisitumike kufanyia uchaguzi. Nadhani kama hio itakuwa suluhusho zuri kuliko kusema kuna vyama vingi na uchaguzi, lakini nchi haipatikani kwa sanduku la kura.Wapinzani tunajua hamna jeshi la kupambana na sisi.
Isitoshe urais wa zanzibar kwa mara ya kwanza haukupatikana kwenye sanduku la kura hivyo msitegemee tutawapa nchi kupitia sanduku la kura, kama mna ubavu tunisheni misuli yenu kama hamuwezi tulieni tuliiiiii kama maji mtungini.
Magufuli baba lao
Ccm oyeeeèeee
Chadema juu zaidi
Lisu ni yeyeeeeeeeee