Uchaguzi 2020 Angalizo Uchaguzi wa Mwaka huu; NEC/ZEC msicheze na sanduku la kura ni 'Bomu'

Watu wana midomo mirefu
Labda ungetujuvya lengo na maana la demokrasia ya vyama vingi, labda wengine tungekufahamu. Tunapoteza fedha kibao kufanya uchaguzi wakati watu wenyewe ni nchi masikini. Kama hakuna nia ya kuheshimu matokeo ya wapiga kura, basi fedha zetu zisitumike kufanyia uchaguzi. Nadhani kama hio itakuwa suluhusho zuri kuliko kusema kuna vyama vingi na uchaguzi, lakini nchi haipatikani kwa sanduku la kura.
 
Taratibu za uchaguzi tunazifanya ili tusikose misaada ya pesa za wanaume wa Ulaya na Marekani, kinyume na hapo serikali yetu sikivu ya ccm ingevifuta vyama vyote na hata ccm yenyewe ingefutwa abaki Magufuli tu
 
Mwaka huu watanzania hatutakubali chaguo letu lipuuzwe tusukumiziwe mtu na Jechaism hatutakubali mark my words.
 
CCM haiwezi kabidhi nchi kwa wahuni 'aka' wakora
CCM wamekuwa dhaifu sana, JPM na genge lake wameona wajikite kwenye UHUNI na UHALIFU tu sasa. Hoja zimewaishia ni kutapatapata tu.
 
Haaahaaa usiishi kwa mazoea nyantele
 

Sawa kabisa. ZEC wajue tu wakifanya figisu aliyofanya dhalimu, baradhu;i, na jambazi jecha salum jecha ataipoelekea znz pabaya ajue tu mara hii wazanzibari hawatokubali hata kdg. salamu ziwafikie. watakimbia wao na familia zao.
 
Taratibu za uchaguzi tunazifanya ili tusikose misaada ya pesa za wanaume wa Ulaya na Marekani, kinyume na hapo serikali yetu sikivu ya ccm ingevifuta vyama vyote na hata ccm yenyewe ingefutwa abaki Magufuli tu
Tutakosea tukiwaita malaya ?, nao pia hufanya mambo kwa ajili ya pesa za wanaume
 
Safari hii wajaribu kuingiza mabox yao kwa kutumia police pia wajaribu kuzuia mawakala wa CDM hadi saa nne tano ili wafanye yao...

Hatumwi mtu sokoni...!! CCM Weka ugoko CDM weka chuma..dadadeq...hutaki futa uchaguzi tujue moja kama Somalia vile.
unaongea ukiwa wapi?

Upo upo Tanzania, basi uko dunia yako ya wachache saaana!
 
Butiku aliwaambia vizuri sana kwenye kikao cha NCCR juzijuzi hapa. Sasa kama hawatomwelewa yule mzee wajiandae tu kuingia kwenye historia chafu ya hii nchi
 
Afrika nzima, hakuna nchi ina wananchi waoga kama watanzania
Yaani kama vile wamemwagiwa maji ya baridi.

Hiyo ndio hatari kwani kila muda ukienda watu wanaumia ndani ya mioyo na siku mioyo ikichoka kuvumilia , paka atakuvamia usoni.

Hali ilipofika ni hapo , mti na jicho OCTOBER
 
Kama 2015, Jecha alipindua meza mchana kweupe na hakuna aliyethubutu kuweka mguu barabarani , jaribuni wakati huu wa Magufuli muone mziki wake.



TATIZO KIKIWAKA KUJA KUKIZIMA NI KAZI


Zanzibar tokea 1964 haijakaa sawa , Somalia mpaka leo ndio hivyo, Congo nayo ndiyo hivyo nk
 
TATIZO KIKIWAKA KUJA KUKIZIMA NI KAZI


Zanzibar tokea 1964 haijakaa sawa , Somalia mpaka leo ndio hivyo, Congo nayo ndiyo hivyo nk
Zanzibar imepoaa pooooo kama vile hakuna kilichowahi kutokea.

Watz mbwembwe nyingi wanafanyia kwenye keyboard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…