Uchaguzi 2020 Angalizo Uchaguzi wa Mwaka huu; NEC/ZEC msicheze na sanduku la kura ni 'Bomu'

"Magufuli usicheze na uchaguzi huu, utaishia Mahakama ya Kimataifa ya Jinai.

Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro, usicheze na uchaguzi huu, ukicheza na uchaguzi huu utaishia Mahakama ya Kimataifa ya Jinai." Mhe. @TunduALissu.
 
"Magufuli usicheze na uchaguzi huu, utaishia Mahakama ya Kimataifa ya Jinai.

Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro, usicheze na uchaguzi huu, ukicheza na uchaguzi huu utaishia Mahakama ya Kimataifa ya Jinai." Mhe. @TunduALissu.
Ukimsikiliza Tundu Lissu anaongea zaidi kwa huzuni kuliko hasira sio kama anavyofanya mpinzani wake meko.

Tundu Lissu anaendelea KUSEMA Watanzania wamepoteza maisha yao na kazi zao:kutokana na rais ambaye hasemeleki hataki kukosolewa, analaumu wengine, anakataa ushirikiano na mpenda chuki.
 
This time wakichezea maamuzi ya umma hautowaacha salama,
 
Mchezo wenyewe huchezwa usiku wa Alfajiri kuamkia siku ya kupiga kura...

Kwa maelewano na msimalizi wa uchaguzi wa kituo husika basi vitabu viwili ama vitatu kupigwa kura kabisa kabisa...

By the time saa moja saa mbili mawakala wanafikia kituoni mchezo ushachezwa ...wenzenu wanaanza na na kura 200 ama 300 nyie mnaanza na 0.

On process; mawakala huwa wanazubaishwa zubaishwa pale ndani ya kituo ili mambo yafanyike kinyemela.

Njaa za mawakala na mawakala wa upinzani wasio uaminifu ndicho chanzo kikuu.

Kumbukeni wasimamizinwa uchaguzi wengi wao ni makada wa chama watiifu.
 
Tuwape tu Siri ule utii ni wa kwenye uniforms tu,hao mnaowategemea Wana hasira Sana nanyi mmewanyima haki zao ikiwemo nyongeza za mishahara huo moyo wautoe wapi wa kuwatiini kuwamiliki mabosi zao hakumaanishi mmewamiliki wa chini yao. Ukiongea nao wanaunga mabadiliko.
 
Hakuna kitu ubabe na wizi wa kura upo palepale
 
Unfortunately Watanzania hawana uthubutu huo
Kanuni ya uumbaji na maumbile ni very common, kwamba kila kilichoumbwa, lazima kizeeke na kufa. Huwezi kuzuia hilo

Unfortunately, wewe ni "Tomaso!!"

Huwezi kuamini kwa kuambiwa na KUSIKIA, ni mpaka UONE na hakika UTAONA..
 
Reality?
 
 
Hii kitu Ni uongo.Hakuna wizi wa kura ambao huwa unafanywa kituoni.Labda ngazi za juu.Kituoni hapana nabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…