Angalizo wanaoshikiwa akili na Wanaharakati njaa wa Tanzania

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

Wanaharakati na mamluki wa mabeberu wanashabikia watu watoke majumbani kwao wakaandamane kwa kuwa kukaa ndani watauwawa!

Wanakwenda mbali zaidi na kusema waliouwawa kwenye vurugu za 29 Oktoba 2025 walikuwa majumbani!

Hawa watu ni wagonjwa wa akili na washenzi sana! Vile vituo vya mafuta vilichomwa na watu walioko majumbani? Yale magari ya mwendokasi yalichomwa na watu walioko majumbani? Wale waliochoma maofisi ya serikali walikuwa nyumbani?

Kama wao wanadhani kukaa ndani ni hatari zaidi mbona wao wanaohamasisha kuandamana hawako Tanzania na hawajo ndani? Au kama kukaa ndani ni hatari mbona wao hawajatoka huko walikojificha na kuja kutoka barabarani?

Tuliwashauri wazazi kabla ya Oktoba 29 na tunawashauri tena sasa ya kuwa zungumzeni na vijana wenu na watoto wenu juu ya hatari ya kufuata mkumbo wa hizi vurugu wanazoziita maandamano!

Haya siyo maandamano ya kudai chochote bali hizi ni vurugu zilizofadhiliwa na kupangwa na watu kwa lengo la kuangusha serikali na kuleta vurugu nchini! Kuna watu wanataka kuingia madarakani kwa vurugu kwa kuwa wameshindwa kufanya hivyo kwenye uchaguzi kwa miaka mingi sana!..

Sasa kaeni mkijua kuwa hakuna serikali duniani itakaa tu inatazama wahuni kama Maria na wenzake wanachochea vurugu na kuangusha serikali!..

Halafu Maria na Mange aambiwe tu kuwa anapotoa ratiba na ramani za watu kuandamana na kuchoma moto majengo ya serikali tunataka ajue kuwa watu wako ndani ya nyumba yao na walishamaliza kufanya anachodhani hakiwezi kufanyika

Sasa aendelee kuchochea vurugu aone kitu kitamkuta mamake hapo kwao Masaki!. Huwezi chochea nyumba za watu zichomwe moto halafu kwenu kunaki salama! Not this time around!

Wewe endelea kutoa route za maandamano lakini sisi tunakuambia tu kuwa tuko ndani kwenye tunakupa route za sebuleni mpaka vyumbani kwenu!..

MATAJUA HAMJUI SAFARI HII..
 
Wewe mjinga si ulisema hatuwezi kuandamana? This time tunakuja tena. Bado hujalia vizuri
 
Hivi wewe mvaa kobazi kweli unadhani tatizo ni mange na maria?...
Umerogwa maalim?...
Muueni mama yake ..chomeni nyumba..hata yeye muueni...unafikiri ndio mmesolve tatizo?...
Tatizo lipo deep sana maalim...
Muda utaongea!
 
Asilimia kubwa waliouliwa walikua wanaangalia mpira, na walikua ndani, mfano Masta Tindwa, mbona huzungumzii watu kutekwa, Ccm kuiba Kura, familia kupeana vyeo kama nchi yao hii au nchi ya kifalme, maliasili za nchi kuuzwa.

Endeleeni kuua, wanuka damu nyie
 
Tatizo sio Mange bali uongozi wa hovyo ! huyu Mange aliwahi kuitisha maandamano enzi ya Magu lkn yakakododa anakili hata yeye kuwa Magu alipendwa mno na watanzania.. tatizo huyu Kahaba hapendwi ndio maana unaona watu wao tayari kuandamana sababu ya utawala wa kipumbavu..
 
Wanaukumbi.

Wanaharakati na mamluki wa mabeberu wanashabikia watu watoke majumbani kwao wakaandamane kwa kuwa kukaa ndani watauwawa!

Wanakwenda mbali zaidi na kusema waliouwawa kwenye vurugu za 29 Oktoba 2025 walikuwa majumbani!

Hawa watu ni wagonjwa wa akili na washenzi sana! Vile vituo vya mafuta vilichomwa na watu walioko majumbani? Yale magari ya mwendokasi yalichomwa na watu walioko majumbani? Wale waliochoma maofisi ya serikali walikuwa nyumbani?

Kama wao wanadhani kukaa ndani ni hatari zaidi mbona wao wanaohamasisha kuandamana hawako Tanzania na hawajo ndani? Au kama kukaa ndani ni hatari mbona wao hawajatoka huko walikojificha na kuja kutoka barabarani?

Tuliwashauri wazazi kabla ya Oktoba 29 na tunawashauri tena sasa ya kuwa zungumzeni na vijana wenu na watoto wenu juu ya hatari ya kufuata mkumbo wa hizi vurugu wanazoziita maandamano!

Haya siyo maandamano ya kudai chochote bali hizi ni vurugu zilizofadhiliwa na kupangwa na watu kwa lengo la kuangusha serikali na kuleta vurugu nchini! Kuna watu wanataka kuingia madarakani kwa vurugu kwa kuwa wameshindwa kufanya hivyo kwenye uchaguzi kwa miaka mingi sana!..

Sasa kaeni mkijua kuwa hakuna serikali duniani itakaa tu inatazama wahuni kama Maria na wenzake wanachochea vurugu na kuangusha serikali!..

Halafu Maria na Mange aambiwe tu kuwa anapotoa ratiba na ramani za watu kuandamana na kuchoma moto majengo ya serikali tunataka ajue kuwa watu wako ndani ya nyumba yao na walishamaliza kufanya anachodhani hakiwezi kufanyika

Sasa aendelee kuchochea vurugu aone kitu kitamkuta mamake hapo kwao Masaki!. Huwezi chochea nyumba za watu zichomwe moto halafu kwenu kunaki salama! Not this time around!

Wewe endelea kutoa route za maandamano lakini sisi tunakuambia tu kuwa tuko ndani kwenye tunakupa route za sebuleni mpaka vyumbani kwenu!..

MATAJUA HAMJUI SAFARI HII..
Huo mpumbavu wenu muishie kulishana huko huko uvccm.

Kwani Wanaharakati ndo wanaua na kuteka watu? Wanaharakati ndo wanafanya ufisadi wa mali za umma?
 
🚮
 
1f3c8e75-8892-468f-8aa7-13e94a3e67b2.jpeg
 
Unajua kwanini inakuumiza? Kwa sababu hutulii, ungetulia ingeingia taratibu wala usingeumia kiasi cha kutoa povu lote hili
 
Nyinyi ndio huwa mnamshauri Bi. Mkubwa hapo white house?
 
Shetani Samia aliua mjamzito huyu!
Screenshot_20251208-104933~2.png
 
Back
Top Bottom