Angalizo wanaoshikiwa akili na Wanaharakati njaa wa Tanzania

Wanaukumbi.

Wanaharakati na mamluki wa mabeberu wanashabikia watu watoke majumbani kwao wakaandamane kwa kuwa kukaa ndani watauwawa!

Wanakwenda mbali zaidi na kusema waliouwawa kwenye vurugu za 29 Oktoba 2025 walikuwa majumbani!

Hawa watu ni wagonjwa wa akili na washenzi sana! Vile vituo vya mafuta vilichomwa na watu walioko majumbani? Yale magari ya mwendokasi yalichomwa na watu walioko majumbani? Wale waliochoma maofisi ya serikali walikuwa nyumbani?

Kama wao wanadhani kukaa ndani ni hatari zaidi mbona wao wanaohamasisha kuandamana hawako Tanzania na hawajo ndani? Au kama kukaa ndani ni hatari mbona wao hawajatoka huko walikojificha na kuja kutoka barabarani?

Tuliwashauri wazazi kabla ya Oktoba 29 na tunawashauri tena sasa ya kuwa zungumzeni na vijana wenu na watoto wenu juu ya hatari ya kufuata mkumbo wa hizi vurugu wanazoziita maandamano!

Haya siyo maandamano ya kudai chochote bali hizi ni vurugu zilizofadhiliwa na kupangwa na watu kwa lengo la kuangusha serikali na kuleta vurugu nchini! Kuna watu wanataka kuingia madarakani kwa vurugu kwa kuwa wameshindwa kufanya hivyo kwenye uchaguzi kwa miaka mingi sana!..

Sasa kaeni mkijua kuwa hakuna serikali duniani itakaa tu inatazama wahuni kama Maria na wenzake wanachochea vurugu na kuangusha serikali!..

Halafu Maria na Mange aambiwe tu kuwa anapotoa ratiba na ramani za watu kuandamana na kuchoma moto majengo ya serikali tunataka ajue kuwa watu wako ndani ya nyumba yao na walishamaliza kufanya anachodhani hakiwezi kufanyika

Sasa aendelee kuchochea vurugu aone kitu kitamkuta mamake hapo kwao Masaki!. Huwezi chochea nyumba za watu zichomwe moto halafu kwenu kunaki salama! Not this time around!

Wewe endelea kutoa route za maandamano lakini sisi tunakuambia tu kuwa tuko ndani kwenye tunakupa route za sebuleni mpaka vyumbani kwenu!..

MATAJUA HAMJUI SAFARI HII..
Nyie na familia zenu mmetushikia akili Kwa zaidi ya miaka 60 bila ya kupata Chochote cha manufaa kutoka kwenu Sasa wivu wa Nini kushikiwa akili na wanaharakati Kwa miezi sita tuu
 
Tulia wewe mpuuzi Mwalimu J.K.Nyerere muasisi wa taifa hili alitaka kupinduliwa mara kibao;Kwani Samia yeye ni nani nchi hii mpaka asitolewe madarakani!!
Samia aachie ngazi mambo mengine yaendelee,wenye nchi hawamtaki,period!!
 
Kichwan hazimo , wanaotekwa wanatekwa wakiwa wanaandanana ?
 
Sasa kama Mange na Maria Sarungi wana nguvu kubwa yakuweza kuhamasisha na kusikilizwa kuliko Samia na Serikali then washauri wakubali kuwa kazi imewashinda.
 
WATANZANIA KESHO HAKUNA KUCHOMA VITU ILA KUJILINDA NA SILAHA YAKO NI MUHIMU. TUNAKUSANYIKA KWA WAKUU WA MKOA NA WILAYA TUNAIMBA NYIMBO ZA KIZALENDO, NA MABANGO YETU.
 
Huku unasapoti mauaji ya Watanzania kule unapinga mauaji ya Wapalestina.

Atakuja mtu kunikanusha eti haiwezekani kufikiri kwa kutumia Makalio.

Yaani hapo ndipo utaona kuna wana akili za ajabu kabisa.

Huko Palestina hutasikia wakisema ni magholofa mangapi yamebomolewa na Waisraeli.
 
WATANZANIA KESHO HAKUNA KUCHOMA VITU ILA KUJILINDA NA SILAHA YAKO NI MUHIMU. TUNAKUSANYIKA KWA WAKUU WA MKOA NA WILAYA TUNAIMBA NYIMBO ZA KIZALENDO, NA MABANGO YETU.
Utaandamana humu JF na Tecno yako huku umejifungia chumbani kwako Kimara Temboni.
 
Kichwan hazimo , wanaotekwa wanatekwa wakiwa wanaandanana ?
Wewe punguani kweli
Vile vituo vya mafuta vilichomwa na watu walioko majumbani? Yale magari ya mwendokasi yalichomwa na watu walioko majumbani? Wale waliochoma maofisi ya serikali walikuwa nyumbani?
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
Wewe punguani kweli unajua watu 23.000? Mnashikiwa akili na Mange
 
Tuliwashauri wazazi kabla ya Oktoba 29 na tunawashauri tena sasa ya kuwa zungumzeni na vijana wenu na watoto wenu juu ya hatari ya kufuata mkumbo wa hizi vurugu wanazoziita maandamano!
 
Nyie na familia zenu mmetushikia akili Kwa zaidi ya miaka 60 bila ya kupata Chochote cha manufaa kutoka kwenu Sasa wivu wa Nini kushikiwa akili na wanaharakati Kwa miezi sita tuu
Sasa kaeni mkijua kuwa hakuna serikali duniani itakaa tu inatazama wahuni kama Maria, Mange na wenzake wanachochea vurugu na kuangusha serikali!..
 
Wewe mjinga si ulisema hatuwezi kuandamana? This time tunakuja tena. Bado hujalia vizuri
Huku Tunduma na Mbeya nasikia waandamanaji wamejipanga vibaya mno, askari akirusha risasi atarudishiwa kwa kurushiwa Bomu.
 
Tulia wewe mpuuzi Mwalimu J.K.Nyerere muasisi wa taifa hili alitaka kupinduliwa mara kibao;Kwani Samia yeye ni nani nchi hii mpaka asitolewe madarakani!!
Samia aachie ngazi mambo mengine yaendelee,wenye nchi hawamtaki,period!!
Wewe bwege kweli Nyerere eti muasisi wa Taifa una umri gani?

Nyerere kaja Dar es Salaam mwaka 1952.

Amesisi lini Taifa.
 
Sasa kaeni mkijua kuwa hakuna serikali duniani itakaa tu inatazama wahuni kama Maria, Mange na wenzake wanachochea vurugu na kuangusha serikali!..
Hayo haya tuhusu tulia sisi tukutane road kesho acha kuweweseka
 
Back
Top Bottom