gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Maandamano yale hayakuungwa mkono na TEC, this time TEC by implications walikua nyuma ya haya,wafuasi wao wanaowasamehe dhambi wakatokaTatizo sio Mange bali uongozi wa hovyo ! huyu Mange aliwahi kuitisha maandamano enzi ya Magu lkn yakakododa anakili hata yeye kuwa Magu alipendwa mno na watanzania.. tatizo huyu Kahaba hapendwi ndio maana unaona watu wao tayari kuandamana sababu ya utawala wa kipumbavu..