Angalizo wanaoshikiwa akili na Wanaharakati njaa wa Tanzania

Nyie na familia zenu mmetushikia akili Kwa zaidi ya miaka 60 bila ya kupata Chochote cha manufaa kutoka kwenu Sasa wivu wa Nini kushikiwa akili na wanaharakati Kwa miezi sita tuu
 
Tulia wewe mpuuzi Mwalimu J.K.Nyerere muasisi wa taifa hili alitaka kupinduliwa mara kibao;Kwani Samia yeye ni nani nchi hii mpaka asitolewe madarakani!!
Samia aachie ngazi mambo mengine yaendelee,wenye nchi hawamtaki,period!!
 
Kichwan hazimo , wanaotekwa wanatekwa wakiwa wanaandanana ?
 
Maandamano yale hayakuungwa mkono na TEC, this time TEC by implications walikua nyuma ya haya,wafuasi wao wanaowasamehe dhambi wakatoka
kwahiyo TEC ndo iliwashaur muwaue waandamanaj ?
 

Sasa kama Mange na Maria Sarungi wana nguvu kubwa yakuweza kuhamasisha na kusikilizwa kuliko Samia na Serikali then washauri wakubali kuwa kazi imewashinda.
 
WATANZANIA KESHO HAKUNA KUCHOMA VITU ILA KUJILINDA NA SILAHA YAKO NI MUHIMU. TUNAKUSANYIKA KWA WAKUU WA MKOA NA WILAYA TUNAIMBA NYIMBO ZA KIZALENDO, NA MABANGO YETU.
 
Huku unasapoti mauaji ya Watanzania kule unapinga mauaji ya Wapalestina.

Atakuja mtu kunikanusha eti haiwezekani kufikiri kwa kutumia Makalio.

Yaani hapo ndipo utaona kuna wana akili za ajabu kabisa.

Huko Palestina hutasikia wakisema ni magholofa mangapi yamebomolewa na Waisraeli.
 
WATANZANIA KESHO HAKUNA KUCHOMA VITU ILA KUJILINDA NA SILAHA YAKO NI MUHIMU. TUNAKUSANYIKA KWA WAKUU WA MKOA NA WILAYA TUNAIMBA NYIMBO ZA KIZALENDO, NA MABANGO YETU.
Utaandamana humu JF na Tecno yako huku umejifungia chumbani kwako Kimara Temboni.
 
Kichwan hazimo , wanaotekwa wanatekwa wakiwa wanaandanana ?
Wewe punguani kweli
Vile vituo vya mafuta vilichomwa na watu walioko majumbani? Yale magari ya mwendokasi yalichomwa na watu walioko majumbani? Wale waliochoma maofisi ya serikali walikuwa nyumbani?
 
Wewe punguani kweli unajua watu 23.000? Mnashikiwa akili na Mange
 
Tuliwashauri wazazi kabla ya Oktoba 29 na tunawashauri tena sasa ya kuwa zungumzeni na vijana wenu na watoto wenu juu ya hatari ya kufuata mkumbo wa hizi vurugu wanazoziita maandamano!
 
Nyie na familia zenu mmetushikia akili Kwa zaidi ya miaka 60 bila ya kupata Chochote cha manufaa kutoka kwenu Sasa wivu wa Nini kushikiwa akili na wanaharakati Kwa miezi sita tuu
Sasa kaeni mkijua kuwa hakuna serikali duniani itakaa tu inatazama wahuni kama Maria, Mange na wenzake wanachochea vurugu na kuangusha serikali!..
 
Wewe mjinga si ulisema hatuwezi kuandamana? This time tunakuja tena. Bado hujalia vizuri
Huku Tunduma na Mbeya nasikia waandamanaji wamejipanga vibaya mno, askari akirusha risasi atarudishiwa kwa kurushiwa Bomu.
 
Tulia wewe mpuuzi Mwalimu J.K.Nyerere muasisi wa taifa hili alitaka kupinduliwa mara kibao;Kwani Samia yeye ni nani nchi hii mpaka asitolewe madarakani!!
Samia aachie ngazi mambo mengine yaendelee,wenye nchi hawamtaki,period!!
Wewe bwege kweli Nyerere eti muasisi wa Taifa una umri gani?

Nyerere kaja Dar es Salaam mwaka 1952.

Amesisi lini Taifa.
 
Sasa kaeni mkijua kuwa hakuna serikali duniani itakaa tu inatazama wahuni kama Maria, Mange na wenzake wanachochea vurugu na kuangusha serikali!..
Hayo haya tuhusu tulia sisi tukutane road kesho acha kuweweseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…