Angalizo wanaoshikiwa akili na Wanaharakati njaa wa Tanzania

Huku Tunduma na Mbeya nasikia waandamanaji wamejipanga vibaya mno, askari akirusha risasi atarudishiwa kwa kurushiwa Bomu.
Wewe una ripoti kutoka wapi kimara.
 
Hayo haya tuhusu tulia sisi tukutane road kesho acha kuweweseka
Serikali imejipanga kuhakikisha kesho hali ya amani inakuepo katika maeneo yote na kwamba kile kilichotokea hakijirudii tena na wala raia wema hawawi distributed na watu wachache wenye maslahi yasiyojulikana.
 
Nyie ndio mnakufaga ndani
 
Tuliwashauri wazazi kabla ya Oktoba 29 na tunawashauri tena sasa ya kuwa zungumzeni na vijana wenu na watoto wenu juu ya hatari ya kufuata mkumbo wa hizi vurugu wanazoziita maandamano!
Mkoloni mweusi lazima aondoke. Hatuwezi kukubali kutekwa na kuuwawa tu kila siku kama kondoo. Hicho kikundi chenu cha kigaidi ndo mnaita Serikali? Serikali haiwezi kuteketeza wananchi wake.
 
Tumeshuhudia nchi nyingine zikiharibiwa na maandamano yaliyodhibitiwa vibaya. Hakuna faida tunayoweza kupata kutoka kwa machafuko. Tanzania ni yetu sote tuilinde kwa vitendo.
 
Mkoloni mweusi lazima aondoke. Hatuwezi kukubali kutekwa na kuuwawa tu kila siku kama kondoo. Hicho kikundi chenu cha kigaidi ndo mnaita Serikali? Serikali haiwezi kuteketeza wananchi wake.
Usiwasemee watanzania jisemee peke yako mjinga wewe.

Tuliwashauri wazazi kabla ya Oktoba 29 na tunawashauri tena sasa ya kuwa zungumzeni na vijana wenu na watoto wenu juu ya hatari ya kufuata mkumbo wa hizi vurugu wanazoziita maandamano!
 
Nikirudi Tanzania nitashiriki
Yaani wewe upo nje ya nchi unahamasisha maandamano.

Haya siyo maandamano ya kudai chochote bali hizi ni vurugu zilizofadhiliwa na kupangwa na watu kwa lengo la kuangusha serikali na kuleta vurugu nchini! Kuna watu wanataka kuingia madarakani kwa vurugu kwa kuwa wameshindwa kufanya hivyo kwenye uchaguzi kwa miaka mingi sana!
 
Usiwasemee watanzania jisemee peke yako mjinga wewe.

Tuliwashauri wazazi kabla ya Oktoba 29 na tunawashauri tena sasa ya kuwa zungumzeni na vijana wenu na watoto wenu juu ya hatari ya kufuata mkumbo wa hizi vurugu wanazoziita maandamano!
Mjinga ni wewe unayefikiri watanzania ni wajinga na wapumbavu kwamba hawaoni kinachoendelea. Mnawahubiria amani, huku mkiwateka na kuwauwa, mnawahubiria demokrasia huku mkiiba uchaguzi na kugawana vyeo, mnawahubiria maendelea huku mkiuza rasilimali za nchi, hii sio ile Tanzania ya kuhongwa kanga, tisheti na kofia. Wanaharakati wa nje hawafanyi uchochezi, wameanika madudu yanayofanywa na kikundi cha kigaidi kilichomwaga damu za watu zaidi ya 10000.
 
Wewe punguani kweli
Vile vituo vya mafuta vilichomwa na watu walioko majumbani? Yale magari ya mwendokasi yalichomwa na watu walioko majumbani? Wale waliochoma maofisi ya serikali walikuwa nyumbani?
Kwa hiyo adhabu yao ni kuuawa au??,kwahiyo ni halali Samia kupola uchaguzi na kujisimika madarakani kwa kubunduki na kuapishwa uchocholoni??
 
Sio kwa hofu hii uliyonayo. Mwandiko huu unaonesha jinsi ulivosinyaa kwa hofu. Jenziii endeleeni kushikilia hapo mliposhikaa hakuna kuachia wale nchi kwa raha zao hawa pimbi
 
Tafadhali Rejea nilipohamasisha maandamano
 
Kumbe hujui kitu. Wafanya vurugu walikimbilia mtaa ambao Masta T alikuwa amekaa akishangaa vurugu, hivyo alipotaka kukimbia na kuingia ndani kwake wafanya vurugu wengine walitaka kuingia naye. Msiandike tu
 
Nina majengo hapo DSM ambayo kiusalama yana CCTV kila upande .
Vituo vya kujaza mafuta pia vina CCTV.

Kwa nini hakuna video zinazoonyesha matukio ya uchomaji moto na wizi?!??
 
Nyie ndo wale madingi wa ovyo hujui mpaka sasa kwanin vijana wanaandamana?

Tukutane kesho ground.
 
Wewe punguani kweli
Vile vituo vya mafuta vilichomwa na watu walioko majumbani? Yale magari ya mwendokasi yalichomwa na watu walioko majumbani? Wale waliochoma maofisi ya serikali walikuwa nyumbani?
Wewe ***** mbona hujibu swali? Unarukaruka tu. Umeulizwa wanaotekwa na kupotezwa huwa wanaandamana? Mzee Ali kibao, Mdude, Soka, Shadraka etc. Jibu swali you bloodfucken
 
Serikali imejipanga kuhakikisha kesho hali ya amani inakuepo katika maeneo yote na kwamba kile kilichotokea hakijirudii tena na wala raia wema hawawi distributed na watu wachache wenye maslahi yasiyojulikana.
Hata kingereza hujui punguani wewe. Distributed ndio nini?
 
Hivi wewe mvaa kobazi kweli unadhani tatizo ni mange na maria?...
Umerogwa maalim?...
Muueni mama yake ..chomeni nyumba..hata yeye muueni...unafikiri ndio mmesolve tatizo?...
Tatizo lipo deep sana maalim...
Muda utaongea!
Ninawashangaa Sana hawa wanaodhani Mange na Maria ndio chanzo cha maandamano, Mimi nasimama na UTEKAJI/KAULI ZA KEJELI TOKA KWA WATAWALA hakuna kitu kinaumiza moyo kama unampelekea kiongozi malalamiko ya msingi halafu anajibu kwa kebehi, Maria na Mange wamesaidia Tu kuiwasha treni, ila ilikuwa lazima goma liwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…