Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

Waungwana wa Jf mimi nina diploma ya uhasibu kwa yeyote mwenye connection jamani asiniache!!
 
Nahitaji wadada wawili kufanya kazi saluni ya kike maeneo ya Pasiansi Sokoni mkoani Mwanza...kwa maelezo zaidi piga simu namba 0657201120 or 0678369477
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji106]
 
Wakuu kuna dada anatafuta kazi ya Stationary yupo Dar, maeneo ya Gongo lamboto.
 
Tunahitaji madereva hoteli ya Lahe SLP 6129 Mwanza kabla ya tarehe 10.7.2023. mshahara maelewano piga simu 0754290084.
 
Mimi ni kijana Umri 26 nina elimu ya form Six 2022. Nahitaji kazi yoyote ili kujikimu kimaisha. Napatikana Kilwa-LINDI
0623217775 Au 0658719467
ASANTENI
 
[emoji845]NISAIDIE KUPATA MCHONGO[emoji845]
Nina degree ya
COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT.
[emoji419]Naitafutia uzoefu ili badae niweze kuwa na chochote kwenye CV na kuombea Kazi.
Nisaidie hata Internship tu.
Location :KIGOMA ila kokote kama kuna uhakika mimi nitafika.
[emoji736]Msaada waungwana, mniinue
[emoji736]Taasisi
[emoji736]Social Work
[emoji736]Mashirika(NGOS)
kokote kule aisee
0628849189
 
Mimi ni Fundi wa kuchora matangazo ya biashara ukutani na kupiga rangi magari kwa kuchora hivyo hivyo matangazo(spray)na kutengeza mabango aina mbali mbali kuprint t-shirt na alama za barabarani na vingi vingine vinavyohusu matangazo mbalimbali
Kwa mawasiliano 0784367859/0767367859/0715367859
 
Habari,
mimi nina shahada ya banking and funance, toka chuo cha IFM (2018 graduant), pia nina cheti cha Film and TV production toka chuo cha Jasons Film Academy (2023) cha posta Dar es Salaam

nina exeperince kama vile;

(1) nilifanya field bank ya NBC 2015

(2) Nilifanya kazi ya kutafuta wateja yani marketing kwenye kampuni iitwayo Mindsource iliyipo Dar es Salaam 2017

(3) nikajiajiri katika tasnia ya filamu, kwa muda miaka mitati nikiwa kama editor, director, na kufanikiwa kutengeneza filamu mbili

nina skills kama vile;

(1) accounting and book keeping
financial analyzing

(2) marketing

(3) videography ( camera, editing, directing)

pia naweza kufanya professional photography na graphic designing auna zote, yani still na motion graphic design

natafuta:

kazi yoyote, ambayo itahusisha skills nilizotaja

kazi iwepo popote maeneo ya Dar es Salaam ama kibaha

mawasiliano yangu ni 0685416752 na 0742938055
 
Natafuta kazi ya kufundisha Private School

( primary & secondary schools )

Masomo: English language, History

Uzoefu 2 years
 
Natafuta kazi ya kufundisha Private School

( primary & secondary schools )

Masomo: English language, History

Uzoefu 2 years
Primary School: Civic and Moral, Social, & English language.

Secondary: History & English language
 
Unavyosema ni sahihi, tatizo utaomba kazi Sana watu wanajuana ile mbaya haswa kwenye nafasi chache Sana mfano nafasi 1 hadi 10 bora nafasi za vijijini Kama za Sensa hapo afadhali.
 
STATUS: JOB SEEKER.


PROFESSION: TUTOR.


EDUCATION: BACHELOR OF EDUCATION IN ADULT AND COMMUNITY EDUCATION.


EXPERIENCE: SIX MONTHS.

CURRENT ADDRESS: DAR-ES-SALAAM.

PHONE NO_: 0756166405
 
Wanajamii forums, na mimi natafuta kazi

sifa zangu ni kama zifuatazo

(1) nina bachelor degree masuala ya banking and finance

(2) nina cheti cha film and Tv production

(3) nina experience ya kazi ya marketing
(4) nina experience ya kutengeneza filamu na video ads

(5) nina skills za graphics design (both motion and still graphics)

ninafaa sana kwa masuala ya marketing
 
Anahitajika binti mwenye uzoefu na kazi ya secretary ofisi ni law firm iko Tegeta Mshahara Laki 3 umri kuanzia 25 years

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…