Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

NAUZA CARWASH MPYA YA KISASA
MAELEZO: UJENZI, MACHINE ZOTE, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k
JUMLA: TZS 8,000,000

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
CALL: 0717 26 33 77
Kwa nn uuze mkuu... Si utafute msimamizi kisha uendelee na musheni zako!!
 
NAUZA BIASHARA YA CAR WASH:

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
NAMBA YA SIMU: 0717 26 33 77

MAELEZO:

MACHINE ZOTE, UJENZI, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k JUMLA: TZS 7,000,000
NIMEBAHATIKA KUPATA KAZI SERIKALINI NA KITUO CHANGU KIKO MKOANI, SO NIMEAMUA KUUZA HII BIASHARA.
 
Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenyewe uzoefu wa kazi ya kuosha magari.
Waadilifu, wachapakazi, watiifu na wenye uzoefu.

Car Wash hii ya Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga.

Piga simu Na. 0717 26 33 77
 
Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenyewe uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu,wachapakazi,watiifu na wenye uzoefu.
Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga.
Piga simu Na. 0717 26 33 77
 
Experienced UBER DRIVER yupo hapa! Mmiliki wa gari unaweza kufanyanae kazi kwa uaminifu mkubwa na uwazi mtafute dereva huyu akuingizie kipato

0789702863
 
Experience teacher all subject in primary and PHYS,COMPUTER,BIOS,MATH,in CSEE,ACSEE if you need me find immediately on 0784610196( Nina darasa langu) kwaiyo plz unavo nihitaji sihitaji shule inayolipa mishara kindugu nipo kikazi zaid mkataba uzidi ya kazi yangu ya sasa
 
Kama kuna position yeyote ya usimamizi, sehemu yeyote karibu PM kwa mazungumzo.
Ila nina uzoefu mkubwa position ya Manager wa mahotel, pia niko deep sana kwenye (food and beverage)vyakula na vinywaji.
 
Natafuta vijana wa kazi ya Shamba la Mifugo.Nafasi ni mbili.Wawe na uzoefu wa kufuga kuku wa mayai na nyama pia,wafahamu chanjo muhimu na tiba pia.Elimu ya mifugo ni vyema lakini sio lazima uzoefu ni muhimu zaidi.Shamba lipo Morogoro mjini.Tuwasiliane kwa ujumbe mfupi ili nikupigie.Uziefu ni muhimu sana. Mawasiliano ni 0686 666666.Asanteni na karibuni
 
Habari...natafuta shirika lolote linalojihusisha na maendeleo ya jamii nahitaji kujitolea.Naitwa Furaha Kyando elimu yangu Ni bachelor degree ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii.
Namba zangu 0763373404
 
Habari natafuta NGO'S Yoyote ya maswala ya afya nina diploma in pharmacy mwenye kuweza kunisaidia naomba msaada wako
0718927103
 
Habari natafuta kazi nina diploma ya logistic and transport management kwa yoyote mweny connection ya kampuni yoyote msaada 0655077041.
 
Naitwa Ritha Anderson Massawe
Nmemaliza chuo mwaka 2020
Katika chuo cha usimamizi wa fedha

Natafuta kazi Nina degree ya finance and Banking ,second upper class of 3.9
Ninauzoefu wa mda mfupi ndani ya benki
Ya CRDB na pia nmepitia kazi ya majalibio at
CGS collateral control company Ltd

Niko tayar kufanya kazi kwa uweledi
Na ufanisi mkubwa

Namba —— 0719257400
Email —— rita11massawe@gmail.com

View attachment 1985307
 
Habari natafuta kazi nina diploma ya pharmacy na uzoefu
lessen ndo nimetok kufnya mtihan soon nitapataa
0718927103
 
Back
Top Bottom