NATAFUTA KAZI YA KUJITOLEA, UALIMU KATIKA SHULE BINAFSI (private school)
Nimehitimu Diploma ya ualimu wa shule za msingi katika chuo cha ualimu hapa NCHINI mwaka 2018. Nimejaribu kujitolea katika shule za serikali kwa MWAKA mmoja 2019. Nilikuwa nifundisha MASOMO ya Kiingereza, Kiswahili na maarifa ya jamii. Sasa nataka kuvuna uzoefu katika shule za binafsi. Kama kuna NAFASI, naomba sana!
Sent using
Jamii Forums mobile app
Habari wakuu!
Mimi ni kijana mwenye diploma in Information Technology (IT), natafuta ajira iliyo halali ama mahali popote dar es salaam ambapo naweza kufanya kazi kwa kujitolea ili niweze kupata uzoefu.
Pia, kama kuna fundi wa computer / mobile phone nitashkuru kama atanipa nafasi ya kujumuika nae ili niweze kujiimarisha zaidi kwenye ufundi.
Jinsia: Me
Umri: 24
Mahali napoishi: Dar es Salaam
Elimu: Diploma in Information Technology.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Tanzania Rural Empowrnment Organization-TAREO, Nia asasi isyo kuwa ya kiserikali yenye makao yakee makuu Moshi,Kilimanjaro.
Asasi hii inafanya kazi na jami hususani za vijijini.
Tunapenda kutangaza nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu ,sita au mwaka mmoja (3-12 ) katika vituo vyetu visuatavyo.
1. SHULEYA AWALI NA KITUO CHA VIJANA MAJENGO,MOSHI (Hii bi shule inayo fundisha watotot wadogo wa kati ya miaka 2-6
Tunahitaji waalimu wa kujitole.
2. MAJENGO VOCATIONAL TRAINING CENTRE, Ni kituo cha mafunzo ya ufundi stadi ,kilimo na ujasiriamali.
KINATOA MAFUNZO KWA AKINA MAMA,VIH=JANA NA JAMII ZA KATA ZA kahe.
3. MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY-MIT,CHO CHA UFUNDI STADI NA TECHNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILINO,Kipo moshi mjini.
4.HIMO ICT CENTRE;
Hiki ni kutuo cha mafunzo ya TEHAMA ,huduma za internet na stationary, kulicho HIMO-MOSHI
KWA YEYOTE ATAKAYE PENDA WASILIANE NASI AU ATUME BARUA NA CV ZAKE KWA EMIAL...info@tareo-tz,org au simu no.
o717157659/0754469894.
Kwa wanaohitaji watume CV zao kwa email: