Angalizo: Watu wa Mbeya mnaoishi Mbeya Mjitathimini mienendo yenu kinidhamu inalichafua Jiji, ipo siku jiji litafutwa

Sawa yaishe comrade🙏🏿
 
😂😂😂 Jombaa mimi sio mnyakyusa, na ni kweli wanyakyusa wanasifika kwa kugawa mbunye, maharage ya mbeya maji mara moja ndo wanyakyusa.

Wanyakyusa wanawadisi wasafwa kua ni wachafu na washamba, wasafwa wanawadisi wanyaki kua ni malaya.

Ninyi wasafwa mmestaarabika juzi tu apo, mpaka leo ituha wasafwa wanakimbilia milimani kwa kuogopa wageni, kazi yao kubwa ni kupasua mawe huko milimani.
 
hakuna udini mkoani mbeya

umewahi sikia msikiti umechomwa eti ndugu yangu ???

anajaribu kuichafua mbeya haiwezekani😅
 
Hiyo aya ya pili ndicho kilichokuuma mtoa uzi

Poor you

Je hawana hoja malafyalez???
 
Yani kwa kusoma kichwa cha habari tu inaonesha mwandishi hana akili timamu ni mjinga mmoja hakuna anachojua zaidi ya kuvuka barabara 🗑️🚯🚯
 
Hata kama siyo mnyakyusa unabakia ni wakala wa Wanyakyusa maana ndiyo unawaabudu. Usafi wa Wanyakyusa uko wapi? Na kuna shida gani kupasua mawe kama wateja wa mawe wapo? Kipi bora kupasua mawe upate hela au kuuza "K" ndiyo ukalishe familia.

Serikali imepima Jiji viwanja hadi Ituha, ulitaka Wasafwa wakatae maeneo yasipimwe?
 
Wameona bora wawe primitives kuliko kujifanya wajanja halafu wanaishia kula madawa na kulawitiwa.
Umeenda kutoa burudani halafu unaanza habari za eti mitano tena kwa mama? Wamewaambia wamekuja kwenye mkutano wa siasa?
Kama alisema mitano tena ni sahihi kuchapwa chupa na mashabiki. Unaleta uccm/chadema kwenye jukwaa la burudan ambalo watu wamelipia pesa zao
 
Wameona bora wawe primitives kuliko kujifanya wajanja halafu wanaishia kula madawa na kulawitiwa.
Umeenda kutoa burudani halafu unaanza habari za eti mitano tena kwa mama? Wamewaambia wamekuja kwenye mkutano wa siasa?
Mbaya zaidi watu wamelipia wa itikadi tofauti tofauti, Wasinge fanya hivyo ndugu zangu ningewaona wameanza unafki.
 
Wanajielewa,msanii anaandaa event unalipia,unaenda kwenye tamasha usikilize na kuenjoy mziki halafu analeta kampeni za siasa, lazima upopolewe mawe!
Big up Mbeya ila hapo kwenye solar za barabarani wanakosea.
Wasanii wengi tktk tu
Mtu analipia hela alafu
Anawaletea pozi dharau waliyoenda kwenye show yake

Ova
 
Mbeya ni Kitongoji kinachokuwa,waliharakisha kukipa hadhi ya jiji....
 
Wanajitambua sana na hawataki kupelekeshwa
Wenzao Arusha walishaona ni ujinga, baada ya kugundua chadema Ni matapeli wa kisiasa wameacha kabisa sahz mji upo tulivuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…