Ang’atwa ulimi na mpenzi wake wakijamiiana usiku

Ang’atwa ulimi na mpenzi wake wakijamiiana usiku

Gembe Singu (32) mkazi wa kijiji cha Mwamakalanga wilayani Shinyanga anadaiwa kung’atwa ulimi na mpenzi wake, Leticia Elias (40) wakati wakijamiiana.

Inadaiwa wapenzi hao walikuwa na ugomvi, na siku ya tukio mwanamke huyo alimuita Singu nyumbani kwake ili wazungumze na kumaliza tofauti zao.

Akisimulia tukio hilo kaka wa kijana huyo, Makoye Singu amedai mkasa huo umetokea Septemba 29, 2022 majira ya saa tatu usiku, na baada ya ndugu yake kupata majeraha hayo walimpeleka hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Shinyanga ili kupatiwa matibabu

Ameongeza kuwa hali ya ndugu yake bado si nzuri kwani bado hawezi kuongea vizuri na anakula chakula kwa shida licha ya kuwa anaendelea na matibabu.

Naye Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kubainisha kuwa mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi na kwamba upelelezi ukikamilika atafikishwa mahakamani.

Chanzo: Swahili Times
Alizidiwa
 
Ingawa mwamba kaumia ila nimejikuta nacheka
 
me ndo maana hata kumpa dem ndonga anyonye nakua makini sana maana anaweza pata degedege meno yakaze alaf ndonga ipo mdomoni alooooo kitaumana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sijui kwa nini nimecheka hivi, ila kudendeka wakati wa mambo kuna risk sana, akifika kibohehe anaweza kushindwa kujizuia ukachezea jino la hajja. Mi ndio maana hata kutumia mic sipendelei sana mtu a ifanyie.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sijui kwa nini nimecheka hivi, ila kudendeka wakati wa mambo kuna risk sana, akifika kibohehe anaweza kushindwa kujizuia ukachezea jino la hajja. Mi ndio maana hata kutumia mic sipendelei sana mtu a ifanyie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Screenshot_2022-10-05_192029.jpg
 
TUNA UTAJIRI MKUBWA WA MITUME NA MANABII. EBU FIKA PALE ARUSHA KWA NABII MKUU KWA AJILI YA UPONYAJI
 
Back
Top Bottom